Natakafuta sehemu ambayo naweza kukodi jiko

Jesse J

Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
91
Reaction score
40
Habar wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, kama unafahamu sehemu yoyote kwa Dar ambayo naweza kodi sehemu ya jiko! Au kama ni wewe ndio mhusika basi itakua vizur zaid tuongee na kufanya biashara.

Asante.
 
Kuna sehemu niliona mwenge mkuu njia ya kwenda mwananyamala jaribu kwenda
 
Back
Top Bottom