MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,449
- 69,282
Man u just gave me a hint now... I'mma hit my encyclopedia really fast..
One more thing, where did his father work after returning from his USA Scholarship??
Nipe namba yakeKuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.
Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.
Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.
Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.
Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.
Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?
Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.
Told me he is smart... Don't u MALCOM LUMUMBAUnazidi kujazwa uongo tu.
Pops shahada zote kachukulia USA. Kuanzia ya kwanza hadi ya tatu. Na wala hakusomeshwa na serikali.
Mambo ya East Africa yanatokea wapi tena?
Mtaanza kuwafuatilia watu ambao siyo kabisa aisee.
Told me he is smart... Don't u MALCOM LUMUMBA
Unazidi kujazwa uongo tu.
Pops shahada zote kachukulia USA. Kuanzia ya kwanza hadi ya tatu. Na wala hakusomeshwa na serikali.
Mambo ya East Africa yanatokea wapi tena?
Mtaanza kuwafuatilia watu ambao siyo kabisa aisee.
Nipe namba yake
Kumtongoza maanake umpe hela, umpe hela! Umpe helaaaa!!!!!...Kuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.
Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.
Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.
Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.
Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.
Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?
Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.
Hapana Shahada mbili tuuu!
Hakuna mbogo ambaye kipindi cha Nyerere alikuwa na uwezo wa Kujisomesha kwa kufuga Ng'ombe Usukumani.
Hayupoooooo. Scholarship zilizotolewa Bongo nyingi zilikuwa za Foundation fulani hiviiiiii ya yule Tajiri wa USA BABY!!!!!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Was about to tell him so... First Degree in US tena kujisomesha that means yeye alikuwa mtoto wa chifu fulani labda..Hapana Shahada mbili tuuu!

Was about to tell him so... First Degree in US tena kujisomesha that means yeye alikuwa mtoto wa chifu fulani labda..

Nadhani Mali alimaanisha alisomea degree mbili US.. Meaning Second and PhDWe jamaa unahangaika kweli na huna unalolijua.
Sasa basi, hebu litaje hilo jina la mdingi wangu hapa nione kama unamjua.
Manake kila unachohisi ni uongo tu.
Unasema alikuwa hana shahada tatu...alifundishaje UDSM miaka yote hiyo bila kuwa na shahada tatu?
Taja jina lake hapa tuone kama hujaishia kutaja wazee wa watu wengine tu...
Was about to tell him so... First Degree in US tena kujisomesha that means yeye alikuwa mtoto wa chifu fulani labda..
Nadhani Mali alimaanisha alisomea degree mbili US.. Meaning Second and PhD

Huyu Chalii alivyokuwa anaropoka hapa mimi nilikuwa namtempt tu ajichanganye aelekee kibra mimi niweke kisu.
After all i promised you that i will deal with such people who CURSE THEIR MOTHER LAND.
Baba yake kasomeshwa na Wamarekani, wala hakuwa mtoto wa chief.
Alikuwa na akili sana shuleni huko, saaaaana. Basi baba wa taifa katika wasomi aliosomesha baba yake jamaa naye yumo.
How did this come to be about a personal life, we all knew the thread was just full of jokes?Huyu Chalii alivyokuwa anaropoka hapa mimi nilikuwa namtempt tu ajichanganye aelekee kibra mimi niweke kisu.
After all i promised you that i will deal with such people who CURSE THEIR MOTHER LAND.
Baba yake kasomeshwa na Wamarekani, wala hakuwa mtoto wa chief.
Alikuwa na akili sana shuleni huko, saaaaana. Basi baba wa taifa katika wasomi aliosomesha baba yake jamaa naye yumo.
U guys got those silly jokes that make me believe u know each other..Oh okay.
Regardless, your buddy is way off base.
He is 100% wrong.
U guys got those silly jokes that make me believe u know each other..
So I'mma dance with your beats..
We jamaa unahangaika kweli na huna unalolijua.
Sasa basi, hebu litaje hilo jina la mdingi wangu hapa nione kama unamjua.
Manake kila unachohisi ni uongo tu.
Unasema alikuwa hana shahada tatu...alifundishaje UDSM miaka yote hiyo bila kuwa na shahada tatu?
Taja jina lake hapa tuone kama hujaishia kutaja wazee wa watu wengine tu...
Naona unapiga mule mule.. Ebu endelea kutiririka, Ila Nyani ni mjanja so unatakiwa uwe mjanja mara mbili yake.. One mistake ataichukulia advantage.. Legoooo mamenHuyu Chalii alivyokuwa anaropoka hapa mimi nilikuwa namtempt tu ajichanganye aelekee kibra mimi niweke kisu.