Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.

Utakuwa umechanganya madesa.

Mi si mpenzi wa Whitney Houston na sijawahi kukutumia huo wimbo achilia mbali kuujua.

Umenichanganya na nani we Kasinde?

Ntakupiga..
 
Utakuwa umechanganya madesa.

Mi si mpenzi wa Whitney Houston na sijawahi kukutumia huo wimbo achilia mbali kuujua.

Umenichanganya na nani we Kasinde?

Ntakupiga..

Hahahahahahahaa toba yarabiiii...... hapo kwenye dedication nafuta. ... halafu weka wimbo wako ule unaupenda ulee the best hehehehh

Ntakuwa nilichanganya na msg iliyoenda kwa Maria ........... (ole wako...........)

Ukijaribu kunipiga tuu nakimbia mbioooo kisha najificha hata unitafute hunioni ng'oo heheheh

Kasie.
 

Unaona sasa...ndo matatizo ya mchepuko kuwa na mchepuko mwingine.

Wewe ni kichapo to ndo kinakuhusu.

Na huwezi kunishinda mbio.
 
Unaona sasa...ndo matatizo ya mchepuko kuwa na mchepuko mwingine.

Wewe ni kichapo to ndo kinakuhusu.

Na huwezi kunishinda mbio.

Kumbe wewe jamaa ni Muhehe wa Iringa!
Teh teh teh teheeeeeeeeee
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unaona sasa...ndo matatizo ya mchepuko kuwa na mchepuko mwingine.

Wewe ni kichapo to ndo kinakuhusu.

Na huwezi kunishinda mbio.

Hahahahaaa kumbe kwenu Iringa. ..... siku zote hizo mie najua niko na mfuga ng'ombe (cowboy.....bulls) kumbe mnyalukolo Hehehehehehehehehehehehehehehehehee ngoja niongeze mbio maana nakuona unaokota fimbo.na manati. Najificha hunioni hahahahahahahahahahaaaa

Mambo mnyaluu hahahahhahah Monkey Mnyalu. .... kuanzia leo ntakuwa nakutia monkey mnyalu.

Yaani ujue kumchapa Kasie sio kazi ndogo....jasho litakuwa limekutoka hadi la ulimi. Hahahahahhaa mnyaluu weeh ntakuletea ile zawadi yenu ilee .........

Kasie.
 

You are something else.

πŸ˜€πŸ˜€.
 
Hahahaha..umenikumbusha, eti mmeshafika getto, unamshikashika na kumvua lakini utasikia maswali ya "hivi unafanya nini", "kwani unataka kufanya nini"...nilikuwa najibu tu kuwa nataka kupeleka "discovery" huko space hivyo asubiri tu ataona
 

Teh teh teh mademu wanapenda Sauti ya Nyani Ngabu, rangi ya ngozi na Meno.!
And ooh yes he's a sharp dresser!
Wewe unampendea nini jamaaa??????
Teh teh teh Muhehe akienda shule bwanaaa.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mi naona its better to let things happen naturally... Hii ya kutongozwa.. Unajazwa uongo ambao hauna ata faida kwako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…