Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
Ngabu ulisoma boarding school? Yote hayo tuliyafanya prep, wala hatukutongozana ndio maada binti alitaka ufafanuzi.
 
Ngabu ulisoma boarding schoo? Yote hayo tuliyafanya prep, wala hatukutongozana ndio maada binti alitaka ufafanuzi.

Hapana.

Katika mambo niliyokuwa nayachukia kwa nguvu zangu zote ni kusoma hizo shule.

Nilikataa kabisa na kwa bahati nzuri hata sikuwahi kuchaguliwa kwenda wala sikulazimishwa na wazazi.

Huko boarding ndo mlikuwa hamtongozani?
 

Hiyo yaweza kuwa sawa kwa tamaduni zetu za kiafrika. Lakini kwa mchezo huo wa assumptions kuwa kakubali kuna watu wengi sana hasa waafrika waliwahi kupata kesi za ubakaji kutoka kwa wazungu. Wengi huwa wanashangaa wakisema alikubali kabisa wanakuja ambiwa niliogopa angenidhuru.
 

Hapo ndo inabidi uwe mwerevu na mwelewa.

Akisema 'hapana' wewe chukulia kuwa anamaanisha hapana kweli.

Hakuna haja ya kulazimisha.
 
Yaani hata kama si mzuri we mwambie ni bonge la mrembo, siyo?

Ama kweli uongo ni sehemu muhimu sana ya mahaba.
Yeah!!. Ujue Wanawake Ni Viumbe Vinavyopenda Sana Sifa, Hatakama Baazi Yao Kuna Wasiostahiki Kupewa Hizo Sifa.
Kwahiyo Vipi Mkuu Ulimtongoza Au?
 

Nimesoma kichwa cha habari nikajikuta nacheka mwenyewe Nyani Ngabu
 
Yeah!!. Ujue Wanawake Ni Viumbe Vinavyopenda Sana Sifa, Hatakama Baazi Yao Kuna Wasiostahiki Kupewa Hizo Sifa.
Kwahiyo Vipi Mkuu Ulimtongoza Au?

Ah wapi...wala hata sikuhitaji kumtongoza [whatever that is].
 
Hapana.

Katika mambo niliyokuwa nayachukia kwa nguvu zangu zote ni kusoma hizo shule.

Nilikataa kabisa na kwa bahati nzuri hata sikuwahi kuchaguliwa kwenda wala sikulazimishwa na wazazi.

Huko boarding ndo mlikuwa hamtongozani?
The best time was A-level, ilikuwa shule ya wasichana tu, basi mziki ndio uliwakutanisha na opposite sex. Nguo zilizokuwa zinavaliwa😛 Mwisho walimu walisema tuwe tunavaa uniform. Wakati wa disco mwalimu wa zamu alizunguka sana mitaa ya vyoo maana the only thing you can do was kissing. Wakati huo unafikiria "he is the only one" Kumbe utakutana na wengine wengi tu kabla ya kumpata the only one.
 

Hata sielewi huko boarding mliishi ishije tu.

Kwa asili yangu nilivyo, nisingeweza kabisa kustahmili.

Nipo mtu wa faragha mno.

Turudi kwenye mada.

We ushawahi kutongozwa? Na ni jambo gani la ajabu ambalo ushawahi kuambiwa wakati wa kutongozwa?
 
Kutoa Offer, Kuahidi fungu, promise za uongo na vitu vizuri ambavyo hata wewe mwenyewe hujawahi kupanga kuwa navyo! Hahaahahaa hio inaitwa Professional Tongozo hahahaaaa

Mapenzi bila uongo uongo hayaendi kabisa.

Mchuchu hata kama ana sura kama Shrek we mwambie ni bonge moja la beauty queen na anaweza kukuamini kabisa.

 
Hata sielewi huko boarding mliishi ishije tu.

Kwa asili yangu nilivyo, nisingeweza kabisa kustahmili.

Nipo mtu wa faragha mno.

Turudi kwenye mada.

We ushawahi kutongozwa? Na ni jambo gani la ajabu ambalo ushawahi kuambiwa wakati wa kutongozwa?
Nilichogundua kutongoza wanaume inatokana na fani aliyosomea, engineers hawana maneno mengi, wanakwambia kama una nafasi tukutane kwa chakula, mkiwa mnakula anakuangalia na kukukwambia mimi nimekupenda wewe unasemaje?

Watu wa arts atakuja na maneno mengi, mara ki zawadi, mara romantic words, vi aouting vingi with adventures, mara picknic mwisho unajikuta uko kwenye kiss (kwa ridhaa yako) Hasa malawyer wanajua kuremba kwenye mapenzi.
 

Ukiacha ubeba maboksi, unaweza kusema mimi nimesomea fani gani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…