Misako
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 1,143
- 1,404
😂😂njoo kwangu tuuze mkaa achana na huyo mwenye degree ,kwanza kupanda panda ndege mwishow unapata ajal,
😂😂njoo kwangu tuuze mkaa achana na huyo mwenye degree ,kwanza kupanda panda ndege mwishow unapata ajal,
😂😂😂 Dudu yakeKwani Dudu yake umeshawahi kumuuliza ana nia gani na wewe zaidi ya kukugegeda?
😂😂 Dudu yake
Dudu yake kashtuka Sasa, hataki Cha degree Wala ndege😂😂😂Hahahahaha jamaa anafaidi tu. Kila anapokuwa na ugwadu anamtafuta dudu yake anajioshea rungu kisha anasepa. Dudu yake kastuka machale yamemcheza haoni future.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenyekiti bhana!Naomb tutoke wote kwanza ndio utuliee
Umasikini mbaya sana hadi umejichukia kisa umasikini. Komaa hapo hapo ni heri ukose furaha ukiwa ndani ya gari au ndege kuliko kuwa na furaha ukiwa na baiskeli .Huyu boy leo nataka nimtie kibuti sitajali ataongea nini naona tu hatutafika mbali tangu niachane na ma X sijatulia kabisa xo saizi nataka nitulie kabisaa yani niwe single tu kwani nimeona hamna faida yeyote ile zaidi ya ku sex tu!
Mana nikimuangalia awezi kuwa ma future Mimi nimempita umr 2 years yani hatuwez tu fika mbali upande wa life kwao life lao liko juu sana means ma rich hatuwezi fika mbali ujue unapokuwa na mtu try kuangalia na familia yake family yangu ni ya kati sio rich sio poor wao ni pure rich wakitaka kutravel ni kwa ndege tu na masters zimewajaa sasa Mimi na diploma yangu ni aibu naona hatuwezi tu kwenda mbali hata nikimpenda ye kasoma degree ya ( ) yani naona kama tunasex tu at the end kila MTU anaingilia kwake au wewe unanishauri nn?
Sababu ni life lao kuwa high kingine umr wake alafu analile life la kizungu la kuspend mi sijazoea naona naumiza kichwa tu
DudukeHuyu boy leo nataka nimtie kibuti sitajali ataongea nini naona tu hatutafika mbali tangu niachane na ma X sijatulia kabisa xo saizi nataka nitulie kabisaa yani niwe single tu kwani nimeona hamna faida yeyote ile zaidi ya ku sex tu!