Unaweza kuanza na hiyo hiyo uliyotengeneza sasa yaani itumie hiyo app yako kutest kama kuna wateja wanaweza lipa solution yaani hiyo app yako iwe MVP, baada ya hapo Anza kupokea feedback na ku-observe namna watu wanavyobehave na product yako kisha endelea kufanya marekebisho