Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Aise hii content. .Safi sana ' Yanayo wafika kina makamba na kinana round hii ulisha ya,mulika before kwa hii content .hongera kwa utabiri mzuri
 
No I don't, ingekuwa hivyo kama ningekuwa nimesema huku najua yote haya

Sawa.

Lakini si umeona sasa!

Kwa hiyo, ulichoandika jana hakikuwa sahihi. Ulikosea.

Na hata kesho ikitokea Magufuli akasema au kufanya jambo ambalo sikubaliani nalo, nitasema tu. Akifanya jambo zuri, nitampongeza.
 
Sawa.

Lakini si umeona sasa!

Kwa hiyo, ulichoandika jana hakikuwa sahihi. Ulikosea.

Na hata kesho ikitokea Magufuli akasema au kufanya jambo ambalo sikubaliani nalo, nitasema tu. Akifanya jambo zuri, nitampongeza.
Sawa
 
Samahani Mkuu. Chukulia kama kautafiti kadogo, kwa nini uzi huu umepata like zaidi ya 200?
 
 
Magufuli mwoga Sana na Hana uwezo wa kujenga hoja. Hivyo katu hawezi kukubali mdahalo baina yake na genius Lisu.
Mie naomba mdahalo uwe WA kingereza a.k.a kizungu, lugha ya malikia kama ule WA hard talk.
 
Mzee wa "bullshit" kaburi hili hapa limefukuliwa, njoo ulifukie
 
Kipindi Nyani Ngabu ana akili kweli na hajaingiliwa na siasa za kikabila. Dadeki, marehemu Ruge alisema muogope Mungu na teknolojia 😂😂
 
Hahahaaa..... Nyani huyu huyu ninayemjua🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…