Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Chana verse Nyani Ngabu, achana na Nyumbu, ni ng'ombe tu
 
Hahahaaa jinga wewe.
Leo umetaga mayai mangapi?

An egg laying mamal
 
Mbona majuzi tu hapa nilimchana kuhusu msimamo wake wa kuwanyima fursa ya kuendelea na elimu wasichana wasomao shule za msingi.

Hukuona?
Tuendelee kumchana kila mara... Anaboa hajui nini afanye na kwa wkt gani. Halafu anaamini ktk mawazo yake tu.
 
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo.

Hii mistari miwili tu unatosha kukuvua maana Nyani Ngabu
 
ashindwe kweli
 
Jamaa amekuwa mkali kama Simba aliyeshikwa makalio!
 
 

Attachments

Haiba hana. Hajawahi kuwa nayo na hatokuwa nayo. Lakini kwa sasa ndiye rais halali wa nchi, hata kama wengine ukweli huo unawauma.

Anafaa kuwa rais? Kwa mtazamo wangu hafai. Lakini hilo si hoja maana yeye ndiye rais kwa sasa.

Nimejibu maswali yako?
Hongera mkuu kwa kusimamia unachokiamini. Wewe sio mnafki mwingine angebadili maneno au
 
Na ashindwe kabisa. Huo umungu apeleke kwa familia yake.
 
Changudoa sio lazima atege wanaume tu wengine ni wale wasiokuwa na msimamo kama wewe (kahaba wa JF). Tunamshukuru mfukua kaburi hili inaonyesha jinsi gani usivyo na msimamo
Mkuu, mleta uzi hajabadili msimamo juu ya alichoongea. Tusimuite majina mabaya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…