Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Kwi kwi kwi, sasa taulo limedondoka umeamua kubong'oa kabisa kuliokota? hapo ndio unazidi kuharibu

Kabisa kwenye akili zetu mnadhani nimebadilika?

Kabisa mnadhani ndo nimeaibika?

Kabisa mnadhani mmegundua bonge la siri?

Hakika aliyewaita nyumbu hakukosea hata kidogo!
 
Kabisa kwenye akili zetu mnadhani nimebadilika?

Kabisa mnadhani ndo nimeaibika?

Kabisa mnadhani mmegundua bonge la siri?

Hakika aliyewaita nyumbu hakukosea hata kidogo!
Huna lolote wewe! Usifanye watu hawana uwezo kugundua mabadiliko ya fikra za MTU.
Vinginevyo ni we mwenyewe hujitambui
 
Huna lolote wewe! Usifanye watu hawana uwezo kugundua mabadiliko ya fikra za MTU.
Vinginevyo ni we mwenyewe hujitambui

Wewe na nyumbu wenzako hamna uwezo wa kugundua chochote ndo maana mnajichekesha hapa kana kwamba mmegundua jambo jipya wakati hakuna kipya.

Akili zenu ndogo zinawatuma mdhani kila mtu ni lazima ama awe CHADEMA au CCM.

Hamna kabisa uwezo wa kutambua na kung’amua kuwa si kila mtu yupo hivyo.

Nimeshamchana sana Magufuli hapa na ukweli huo wala siyo siri.

Nimeshawachana sana CHADEMA na wengine wa upinzania. Na ukweli huo wala siyo siri.

Sasa hivi vigelegele mnavyopiga hapa ni vya nini? Mmegundua jambo jipya ama?

Mlikuwa wapi siku zote nilizowahi kumpinga Magufuli humu?

Mbona ni suala lililo wazi kabisa!

Nawachana CHADEMA, namchana Magufuli, naichana CCM, naichana ACT, nawachana wote nisiokubaliana nao.

Au wewe na wenzako katika akili zenu mnadhani huwezi ukakubaliana na mtu katika suala moja na ukatofautiana naye katika jambo jingine?

Majuha kabisa nyie. Eti mmefukua makaburi!

Makaburi gani hayo?

Nina nyuzi mia kidogo humu zinazoichana CCM, Kikwete, Magufuli, Mkapa, Mbowe, Lissu, Zitto, na wengineo wengi tu.

Siku zote mlikuwa wapi msiyajue hayo?

Pumbavu kabisa. Na ndo maana nasema hamna akili na hilo bandiko mmelisoma lakini hamjalielewa.

Juha kama jiwe.
 
vipi jamaa anahaiba sasa ya urais? anafaa sasa kua raisi, ni mjanja sio tena mshamba?
 
vipi jamaa anahaiba sasa ya urais? anafaa sasa kua raisi, ni mjanja sio tena mshamba?
Hilo ndio anakwepa kulijibu, anaruka ruka kama maharage jikoni. Atuambie iweje sasa anapoharibu zaidi ndio amegeuka kuwa na haiba na ushamba umeisha?
Hata mtoto atagundua kuwa kuna kitu hapo!
 
vipi jamaa anahaiba sasa ya urais? anafaa sasa kua raisi, ni mjanja sio tena mshamba?

Haiba hana. Hajawahi kuwa nayo na hatokuwa nayo. Lakini kwa sasa ndiye rais halali wa nchi, hata kama wengine ukweli huo unawauma.

Anafaa kuwa rais? Kwa mtazamo wangu hafai. Lakini hilo si hoja maana yeye ndiye rais kwa sasa.

Nimejibu maswali yako?
 
Punguza povu nyani
 
Haiba hana. Hajawahi kuwa nayo na hatokuwa nayo. Lakini kwa sasa ndiye rais halali wa nchi, hata kama wengine ukweli huo unawauma.

Anafaa kuwa rais? Kwa mtazamo wangu hafai. Lakini hilo si hoja maana yeye ndiye rais kwa sasa.

Nimejibu maswali yako?
Kuna kila dalili mshiko wa phase two umecheleweshwa hivyo hii ni njia ya kuwakumbusha
 
Punguza povu nyani

Hivi hushangai kuona hawa nyumbu wanapiga vigeregere kuhusu jambo ambalo linajulikana siku nyingi?

Yaani wamefurahi kana kwamba sijui wamegundua boooonge la siri!

Mimi niliamua kwa makusudi kabisa kutokuwa na upande ili niwe huru kimaoni.

Na ndo maana sioni shida kumchana Magufuli nikiona kakosea na sipatwi na kigugumizi kuwachana CHADEMA nikiona wamekosea.

Kwani suala la watu kutokuwa na chama hapa Tanzania ni dhana iliyo foreign au?
 
Ndugu MSIMISEKI S... ulilosema hapa nalikubali. JF ukichunguza baadhi ya articles watu wanaandika uongo. Haitosaidia. Sana itatujengea mazoea na baadaye tabia ya kuwa watu waongo na wazushi. Tabia mbaya. Jambo kama hili kabla ya kuwahabarisha wana JF wenzio hakikisha umefanya uchunguzi wa kina na kukusanya taarifa za kutosha. Kumjengea chuki Kiongozi wako tena za uongo na kuuaminisha umma wa WanaJF siyo haki. Anyway, hata hivyo inatupasa kuchukuliana na maoni ya wenzetu na namna wanavyojieleza. Ndiyo freedom of expression yenyewe. Bwana Yesu kristo ibariki JF!
 
Na sisi wananchi tuache unafiki kila siku tunamuombea naye anahubiri maombi kwake......unajua tukiacha kumuombea jamaa chali!
 
Changudoa sio lazima atege wanaume tu wengine ni wale wasiokuwa na msimamo kama wewe (kahaba wa JF). Tunamshukuru mfukua kaburi hili inaonyesha jinsi gani usivyo na msimamo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…