uzuri wa gari unategemeana na mtu binafsi mtazamo wake, uwezo wake wa mfuko, matumizi yake, maeneo anayokaa au anayotarajia kutembelea mara kwa mara n.k n.k. na kuh bei hebu acha uvivu nenda kazunguke kwenye show rooms za magri upate bei ya sokoni ndio ulinganishe na hizo zinazouzwa mikononi mwa watu.