nataka niwe no 4 nifanyeje?

kwa mtogole kuna bandiko la mganga wa jadi anaongeza hiyo mambo ila sina uhakika.
 
Bora ubaki hivyo ulivyo my dia ukiwa kama no4 au zaidi utapatashida hasa utembee kwa miguu then ukute group la wanaume wamejikusanya hapo miguu inagonganaje! na omba mungu wasikusemeshe wawezatamani ujipigie simu ili wasikuongeleshe kabisaa.
 
eheheee si watajiju banaaa
 
Humu ndani full maujuzi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…