Nataka nisome PhD nchini

Try at JF humuhumu, utakuja kunishukuru one day πŸ™‚
 
Wakuu mimi nilisoma BSc. Geology, kisha MBA sasa nataka nianze PhD katika kuweka CV vizuri, naomba msaada niaweza kupata wapi PhD in Geology?
Japo sikushauri usome bongo ila nenda jalalani (udsm).
 
Unataka kusoma by thesis au coursework and dissertation?!
Tuanzie hapo
 
Naomba kujuzwa hili, hivi inawezekana Ukafanya PhD kwenye technical area ilihali Master's haikuwa technical kama hiyo Masters ya MBA (non technical)!?

Wajuvi wa mambo tafadhali mnitoe tongotongo hapa!
 
Wakuu mimi nilisoma BSc. Geology, kisha MBA sasa nataka nianze PhD katika kuweka CV vizuri, naomba msaada niaweza kupata wapi PhD in Geology?
Haiwezekani, ulisharibu tayari. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒhapo kama lengo lako ni kuwa lecturer soma mineral economics.
 
Msomi wa PhD halafu unauliza swali kama hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…