Pentamycin
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 210
- 282
Huyo mwanamke ameokoka?
Umeelewa lakiniKutegwa au kutengwa? Jifunze kuandika kwanza
Hakika nimeuonja utamu wa yesu😅Acha kabisa 🍺 ili uwe kamili gado 🙏 kwa Yesu Kuna raha.
Sijaelewa maana kuna mabinti ksnisani wanatega ,pia kanisani kuna kutengwaUmeelewa lakini
Anayenitenga Mungu au mwanadamuUnafnya kwa ajili ya wanadamu na sio mungu maan unaogopa kutengwa
Ameokoka ndioHuyo mwanamke ameokoka?
NAKAZIA.Hili ndilo tatizo. Watu siku hizi hasa wakristo wanaenda kanisani si kwa sababu wanaenda kuabudu au wanampenda Mungu ila wanaogopa kitengwa, wanataka tu wajisikie nao ni part of the community. Wanawaza nikifa sitozikwa, au nitakosa support nikipatwa na tatizo. Hii ndio sababu mchana kwenye mwanga wanajifanya walokole, gizani wazinzi balaa.
Ni kwa sababu kama mtoa mada hawamwogopi Mungu bali wanaogopa waumini na mchungaji asijue
Chukua huu ushauri.!We nenda tu,waeleze ulipata changamoto,sasa Mungu kakusaidia zimeisha unaomba kurudi kundini ,utapewa utaratibu na ibada itaendeleausimwogope mwanadamu,mwogope muumba wako pekee.
Tafuta hela wakukuombea wapo wengi...kuwa na msimamo.Habari.
Nilikuwa njmeokoka Ila baada ya mihangaiko ya kimaisha nikajikuta niko mbali na kufanya chochote kinachohusiana na mambo ya Kiroho.
Mwaka Jana mwanamke niliyempa mimba alijifungua mtoto.
Nimejitafakari nimeona nirudi kanisani.
Ninaogopa sana suala la kutegwa.
Ninaogopa kusemwa vibaya na watu maana nilikuwa mtumishi haswa.
Nimefikiria nimeona bora nihame kanisa.
AsanteTafuta hela wakukuombea wapo wengi...kuwa na msimamo.
AsanteChukua huu ushauri.!
Usilikimbie kanisa la awali, kila mmoja ana makando kando yake, damu ya msalaba ndo hututakasa daima na alikuja kwa kusudi hilo.
Ukiteleza ukadondoka, usibaki hapo hapo bali simama faster jioshe songa mbele
Habari.
Nilikuwa njmeokoka Ila baada ya mihangaiko ya kimaisha nikajikuta niko mbali na kufanya chochote kinachohusiana na mambo ya Kiroho.
Mwaka Jana mwanamke niliyempa mimba alijifungua mtoto.
Nimejitafakari nimeona nirudi kanisani.
Ninaogopa sana suala la kutegwa.
Ninaogopa kusemwa vibaya na watu maana nilikuwa mtumishi haswa.
Nimefikiria nimeona bora nihame kanisa.
huu ushauri umeniwazisha mengi sana 🤔Tafuta hela wakukuombea wapo wengi...kuwa na msimamo.
Kwenye makitu kama makombe ya shirikishoHuko alikoenda Zumaridi?
Kunywa ila usilewe ahsanteMungu ni mwema nimeokoka ila bado mnywaji kiasi
Kazi kweli kweliMungu ni mwema nimeokoka ila bado mnywaji kias