Nataka nirudi kusali naogopa kutegwa

Nataka nirudi kusali naogopa kutegwa

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,014
Reaction score
1,914
Habari.

Nilikuwa njmeokoka Ila baada ya mihangaiko ya kimaisha nikajikuta niko mbali na kufanya chochote kinachohusiana na mambo ya Kiroho.

Mwaka Jana mwanamke niliyempa mimba alijifungua mtoto.

Nimejitafakari nimeona nirudi kanisani.

Ninaogopa sana suala la kutegwa.

Ninaogopa kusemwa vibaya na watu maana nilikuwa mtumishi haswa.

Nimefikiria nimeona bora nihame kanisa.
 
Hili ndilo tatizo. Watu siku hizi hasa wakristo wanaenda kanisani si kwa sababu wanaenda kuabudu au wanampenda Mungu ila wanaogopa kitengwa, wanataka tu wajisikie nao ni part of the community.

Wanawaza nikifa sitozikwa, au nitakosa support nikipatwa na tatizo. Hii ndio sababu mchana kwenye mwanga wanajifanya walokole, gizani wazinzi balaa.

Ni kwa sababu kama mtoa mada hawamwogopi Mungu bali wanaogopa waumini na mchungaji asijue
 
Hili ndilo tatizo. Watu siku hizi hasa wakristo wanaenda kanisani si kwa sababu wanaenda kuabudu au wanampenda Mungu ila wanaogopa kitengwa, wanataka tu wajisikie nao ni part of the community. Wanawaza nikifa sitozikwa, au nitakosa support nikipatwa na tatizo. Hii ndio sababu mchana kwenye mwanga wanajifanya walokole, gizani wazinzi balaa.
Ni kwa sababu kama mtoa mada hawamwogopi Mungu bali wanaogopa waumini na mchungaji asijue
Umenielewa nilishatubu mapema Sana.

Ila kwa sasa nitaka nirudi kanisani kusali
 
Hawa jamaa RC sina hamu nao nakumbuka waligoma kufungisha ndoa yangu kisa sijaudhuria kanisani na sijashiriki jumuiya kwa muda wa miaka 3.nikasema sio kesi nikaenda kwa walokole fasta tu ndoa ikafungwa
Hahah kwahiyo umeokoka siyo? karibu kundini ndugu 🙏
 
Kutegwa au kutengwa? Jifunze kuandika kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom