The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,553
Safiiii!!Ingawa pameitwa jalalani ,mimi bado napaheshimu nitarudi nikasome.
Lakini pia naweza kupata bahati na mimi nikatolewa jalalani.
Haaa, haaa
šššš
Hahahahahah Leo umeamua ukane "chuo kikuu " chenu siyo?
Sitaki ugomvi mmi nipo zangu SAUTI huku nakula Sato tu...
Hapana pale nilikuwa hapo for special task... Sina gamba laoHahahahahah Leo umeamua ukane "chuo kikuu " chenu siyo?
Special task jalalani?Hapana pale nilikuwa hapo for special task... Sina gamba lao
Who cares as long mavumba yalikuwemoSpecial task jalalani?
Tupe kazi.Fanyeni kazi
Who cares as long mavumba yalikuwemo... Huruma ni kwa walio chini ya paa la jalala
Raha sana, watu wanahimishwa huku na kule.
Ila hii nchi wiki haiishi bila kituko kufanyika.
Ingawa pameitwa jalalani ,mimi bado napaheshimu nitarudi nikasome.
Lakini pia naweza kupata bahati na mimi nikatolewa jalalani.