The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,379
- 2,553
Ingawa pameitwa jalalani ,mimi bado napaheshimu nitarudi nikasome.
Lakini pia naweza kupata bahati na mimi nikatolewa jalalani.
Lakini pia naweza kupata bahati na mimi nikatolewa jalalani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safiiii!!Ingawa pameitwa jalalani ,mimi bado napaheshimu nitarudi nikasome.
Lakini pia naweza kupata bahati na mimi nikatolewa jalalani.
Hahahahahah Leo umeamua ukane "chuo kikuu " chenu siyo?
Sitaki ugomvi mmi nipo zangu SAUTI huku nakula Sato tu...
Hapana pale nilikuwa hapo for special task... Sina gamba laoHahahahahah Leo umeamua ukane "chuo kikuu " chenu siyo?
Special task jalalani?Hapana pale nilikuwa hapo for special task... Sina gamba lao
Who cares as long mavumba yalikuwemo... Huruma ni kwa walio chini ya paa la jalalaSpecial task jalalani?
Tupe kazi.Fanyeni kazi
.Who cares as long mavumba yalikuwemo... Huruma ni kwa walio chini ya paa la jalala
Raha sana, watu wanahimishwa huku na kule.
Ila hii nchi wiki haiishi bila kituko kufanyika.
Ingawa pameitwa jalalani ,mimi bado napaheshimu nitarudi nikasome.
Lakini pia naweza kupata bahati na mimi nikatolewa jalalani.