Nataka nimwache, ana kifua cha flat screen

Kayapige sindano kwa mchina, au mtafute maimatha atarudisha kitu zitakua kama maboga sweet and nasty
 
mh mimi bado mgeni kwenye mambo hayo ila kikubwa uache kuongozwa na tamaa za mwili wewe ulimtamani hukumpenda
 
"...The only people who find what they are looking for in life are the fault finders..."
 





Npe no. yake nmwelekeze sehem wanayofanya matiti yanakuw makubwa!
 
Matiti jombaa ni tunda la msimu kwahiyo usitumie matiti kuwa decision criteria unless kama lengo lako ni kuchapa na kuacha! Look, matiti mengi yaliyo mazuri ndiyo yanakuaga mabaya mwanamke anapojifungua! Sasa kama hiyo ilikuwa ndo decision criteria yako si utaanza kumchukia? Halafu wanawake wenyewe wanaona sifa watu kudata na matiti yao... mwanamke mwenye ubongo ulio-settle lazima awe cautious na mwanaume aliyemfuata kwa ajili ya matiti yake ndo maana mkitandikwa ujauzito tu na kuleta kiumbe duniani; taratiiiiibu unakuta mtu anaanza ku-lose interest cuz' alipenda tunda la msimu mmoja ambalo likishadondoka mtini; labda kwa msaada wa Kichina!
 
Maskini akipata.... Ulia mbwataa muache ujuwe waume wenzio.
 
Nimependa ulivo comment maana hawa watu hujiona kana kwamba wao wapo perfect
 
Kisayansi mabinti wa namna hiyo ni wale ambao walikuwa wanapata degedege utotoni,,na au ukubwani atakuwa na leprosy
 
Hapo umenena,maana mshedede ukiwa mkubwa sana na yeye anaweza akakuvumilia tu.
 
Mbona mchina amerahisisha hii kitu? Unaenda anakuonyesha size unayotaka anakupa dozi.
 
Sifa mojawapo chuchu ama matiti ya wanawake ni kuongezeka size kwa kadiri yanavyoshikwa shikwa na mwanaume...So mkuu kazana na kukamata hotel ya mtoto hiyo kwa kasi hadi ma-hormones yahamie huko kiti kitakuwa kwa kasi mbaya..
Mkuu,ampe vidonge vya majira kwa sana,halafu ambandike na mimba hapo baadae,lazima yatavimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…