Nataka nijilazimishe kwenda shule naombeni ushauri

Passed

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
563
250
Ada ipo roho tu inanisumbua ya kutokwenda shule na sielewi kwanini nina uwezo mzuri tu darasani na siwezi biashara tegemeo langu ni shule tu. hii roho nifanyeje isitawale akili yangu siitaki nataka niende shule tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

majoto

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
2,274
2,000
Uvivuu tu hakuna lolote la zaidi... unajua utamisi marost na kuchati JF. Faster fungasha uende shuleee eboooo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom