Nataka nijaribu kuzama chumvini ili asinione mshamba

Xaxa nimegundua kwann kwann wazee wengi wapo serikali ??? Vijana tulionao wanawaza chumvi uvinza yaani nashindwa kuelewa hawa vijana watanzania xjui lini watakuwa wakombozi wa taifa lao kwa utendaji hata mawazoo mmmh ngachokaa
 
Dah nasikitika kuona umeongea lugha ambayo siifahamu. XAXA ni kitu gani. Usisahau kunifafanulia na XJUI
 
Xaxa nimegundua kwann kwann wazee wengi wapo serikali ??? Vijana tulionao wanawaza chumvi uvinza yaani nashindwa kuelewa hawa vijana watanzania xjui lini watakuwa wakombozi wa taifa lao kwa utendaji hata mawazoo mmmh ngachokaa
Wewe unayefikiria vizuri umelitendea nini hili taifa katika mustakabali mzima wa ku-foster development of our nation
 
Wengine wanasema huu mchezo hauhitaji hasira;
Sijawahi kabisa kwenda uvinza lakini bila kushinikizwa na yeyote na nikiwa na akili zangu timamu kwa mara ya kwanza naenda kuzama chumvini ili asinione mshamba.Nimeteseka kwa muda mrefu hadi kumnyaka huyu binti naombeni baraka zenu zakunitakia kwenda uvinza ili nije kutoa mrejesho wa kiasi cha madini chumvi nitakachokikuta huko mgodini
mkuu ukifika uvinza jaribu kuingia na kiwanda cha mbolea pale chini.....................tanzania ya viwanda inawezekana
 
Mtoa mada tupe mrejesho wa uko ulikokwenda uvinza. ..vp au ume angukiwa na kifusi? ?
 
Xaxa nimegundua kwann kwann wazee wengi wapo serikali ??? Vijana tulionao wanawaza chumvi uvinza yaani nashindwa kuelewa hawa vijana watanzania xjui lini watakuwa wakombozi wa taifa lao kwa utendaji hata mawazoo mmmh ngachokaa

Kwa hali iliyopo unadhani kuna kijana atataka kufanya kazi serikalini, labda aruhusu safari za nje ya nchi kwanza
 
Zama ila....
Ukimwi na kaswende ....
Kisonono na pangusa....
Zinakuwinda.....................nakupenda sana mchizi wangu... Usijeona hii dunia ni chungu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom