Nataka nifanye mazoezi ya kukimbia

Naxria abdalla

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
204
Reaction score
376
Nataka kufanya mazoezi ya kukimbia ili nisiende kuchangia damu,nipeni na njia nyengine nitumie ambayo ntapunguza wingi wa damu mie naogopa kwenda kuchangia damu
 
Kwani mm nimesema mimelazimishwa kuchangia?na kama kufanya mazoezi kunaongeza damu basi ni mtihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…