Nataka niende Singida kwa mara ya kwanza

Nataka niende Singida kwa mara ya kwanza

Usitukane Sana mimi baba yako. Kumbuka yalikuwa mawazo yangu tu si lazima uyakubali
Yalikuwa mawazo mazuri lakini yakiwa na kejeli pia. Kumbuka sijawahi safiri safari ndefu hasa mikoa ya huko. Sasa unapokuwa mgeni lazima mtu uanze kwakupata ABC ya eneo husika na ukizingatia muda wa kuingia huko ni usiku
Kuna watu wanapenda sana kukejeli wenzao hata kwenye masuala muhimu sasa nilijua kuwa wewe ni mmoja wao. Pole kwa matusi mkuu, waungwana tunaomba msamaha kama kuna makwazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom