Nataka niende Singida kwa mara ya kwanza

Nataka niende Singida kwa mara ya kwanza

We matako kweli kweli.Au nilivyokuwa nauliza ulidhani sijui kuwa Singida hakuna hoteli yoyote hata kwa ndoto yenye bei ya laki tano/500,000/=

Kama kuna hoteli yoyote Singida yenye chumba bei 200,00/= tuambie.

Msiwe mnapenda ujiko wa kijinga.

Eti siyo ya levo yangu,njoo hapa karibu na Meatu hoteli karibu stendi ya zamani/jengo la CCM uje unywe supu acha kumbwelambwela.

Jioni nakupeleka pale mitaa ya Namfua ukachukue walau dada yako moja ukajipoze,leo madereva wa malori sio wengi.

Kesho asubuhi tukaangalie vitunguu vyangu kule maeneo ya Meria,Ikhanoda,Mtinko,Ilongero,Ngamu halafu tunatokea Gawidu tunaenda Mulbadow mpaka Katesh kuelekea Mwamire karibu na Galapo.

Hahahahahaha!!!!
We jamaa we, hebu njoo kwa pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guest house/Lodge/hotels kuanzia 10,000/= hadi 500,000/=?Zipi hizo za laki tano kwa Singida?Ipo moja au zaidi ya moja yenye kiwango cha bei ya laki tano.

Heeeeee!!nijuze nina wageni toka ng'ambo wanakuja Singida soon.
Pm mkuu wageni wako watafikia mahali salama kabisa kwa bei nafuu
 
We matako kweli kweli.Au nilivyokuwa nauliza ulidhani sijui kuwa Singida hakuna hoteli yoyote hata kwa ndoto yenye bei ya laki tano/500,000/=

Kama kuna hoteli yoyote Singida yenye chumba bei 200,00/= tuambie.

Msiwe mnapenda ujiko wa kijinga.

Eti siyo ya levo yangu,njoo hapa karibu na Meatu hoteli karibu stendi ya zamani/jengo la CCM uje unywe supu acha kumbwelambwela.

Jioni nakupeleka pale mitaa ya Namfua ukachukue walau dada yako moja ukajipoze,leo madereva wa malori sio wengi.

Kesho asubuhi tukaangalie vitunguu vyangu kule maeneo ya Meria,Ikhanoda,Mtinko,Ilongero,Ngamu halafu tunatokea Gawidu tunaenda Mulbadow mpaka Katesh kuelekea Mwamire karibu na Galapo.

Hahahahahaha!!!!
Mkuu umenifanya nipamisi Kateshi.Daah! Kilwa94 Makonde wa Kusini, huwaga nafurahia sana nkifikaga hizi sehemu..kateshi, Babati&Kondoa kuna warembo hatari

5/5
 
Asanteni, kwa mjadala huu unifanya niwe mwenyeji kabla hata sijafika huko mwezi ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
Pita Utemini kwa boma la Mtemi Senge pale aliyekuwa anakamata simba na nyoka cobra na kuwapiga denda wamelegea,kula samaki wa Singidani na Kindai sio sato,mbuzi we nenda kititimo kanunue mzima tafuta washkaji wawili na dada yao mtachuna kuanzia supu mtura,nyamachoma, pilau mbuzi na ndizi mnapika wenyewe halafu unahamia kwa dada yao kupunguza gharama.
Ukizingua panga kwao wale ni km kiwembe tu tena wanalenga medula oblangata.
Safari njema
 
Hahahaha,wewe warembo tu,njoo hapa Endasaki/Nangwa tusalimiane.Baadae naenda Basuto ziwani mpaka Hydoum,jioni Singida halafu Kesho narudi kupitia Gehandu,nitapumzika kidogo kuelekea Gidas mpaka Bonga halafu Nakwa karibu na Maweni/Singe.

Machinga uwe unatembea,sio unakaa tu hapo Mnazimoja njiapanda kwenda Ndanda/Masasi mpaka Tunduru kupitia Nakapanya.Wiki ijayo nitakuwa Lukumbule Tunduru.

Wiki 2 zijazo nitakuwa Mtwara kwenye mitaa yako ya Bima,Shangani,Nangwanda kuna baa hapo visharobaro na vi-harrier/vi-vitz/ist/x- trial,verossa na passo vinaosha nyota kwa hao baamedi wa mikoa mingine wanaofanyia humo.

Machinga wa Kusini tembea uifurahie Tanzania yetu ilivyo nzuri.

Videmu vya kusini kusini huko plus Njombe/Iringa/Ruvuma vimepinda sio masihara.Ndio maana mkijaga huku Manyara/Singida mnakuwa watumwa wa wanawake.

Hahahahahaha!!!
Mkuu umenifanya nipamisi Kateshi.Daah! Kilwa94 Makonde wa Kusini, huwaga nafurahia sana nkifikaga hizi sehemu..kateshi, Babati&Kondoa kuna warembo hatari

5/5
 
Nauli Ni Tsh 35,000/- hadi Singida/Igunga, Guest house/Lodge/hotels zipo za kumwaga Ila nzuri Ni mbali kidogo na stand kuanzia 10,000/- hadi 500,000/- uwezo wako tu, chakula utakula unachotaka, vinywaji Kama kawa!!!!
Karibu sana mgeni mtarajiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
vipi watoto wapo wapo boss?
 
Bei nafuu?Ipi?Ya 10,000/= au 500,000/=?

Sasa hivi hata wazungu wanabana sana kuhusu matumizi ya fedha.

Ndio maana Rais kila siku anasema"to get money you have to work"no free lunch without toiling!!
Pm mkuu wageni wako watafikia mahali salama kabisa kwa bei nafuu
 
Wadau, naomba msaada wenu kwa wenye uzoefu wa kwenda Singida. Sijawahi kusafiri kwenda mkoa huo na ninataka kusafiri mwanzoni mwa mwezi wa Machi mwaka huu.

Ninaomba kuelekezwa mambo yafuatayo ili niweze kupanga bajeti yangu vizuri.

1. Nauli kutoka Dar hadi Singida Igunga

2. Gharama za malazi guest shilingi ngapi na zinapatikana karibu na stand?

3. Nitafika saa ngapi nikitoka Dar saa kumi na mbili au saa moja asubuhi

Nitashukuru sana kwa msaada walau na mimi nifanye ziara ya siku mbili katika mikoa hiyo maana napasikia tu na sina uzoefu wa kusafiri safari ndefu, kwa hiyo itakuwa safari yangu ya kwanza.

Asante kwa muda wako na msaada wako

Mdau wa JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole Sana Igunga iko Tabora , huna sababu ya kujua vyote hivyo utatishika kwenda Muhimu ujue kiswahili, ujiamini Kwa sababu Kule unakutana na Watanzania , kama huna pa kulala Kuna msikiti au kanisa utalala. Hayo maswali ungeuliza kama ungekuwa unaenda Bulawayo si Singida au Kazuramimba
 
Umechelewa hater, wenye akili timamu washajibu maswali we endelea na ujinga wako, shenz taip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa vya pale Rode
Singida kuna nyumba ya kulala bei laki tano/500,000/=??

Ni ipi hiyo naomba ututajie,acha kutoa like za kipuuzi!!

Soon kuna wageni wangu wanakuja huko kikazi,ni international status.

Au wakati unaandika viroba vya pale Serengeti baa karibu na Singida motel/Furaha Cinema vilishaharibu ubongo wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kuchimba dawa pia buree
Kwa kukusaidia tu ni kwamba Igunga ni wilaya mojawapo katika mkoa wa Tabora na si singida kama ulivyoandika, ila kubwa zaidi ni kwamba uishukuru serikali ya awamu ya Tano kwa kuwa ukilipa nauli ya Dar kwenda Singida utapita mikoa ya Pwani, Morogoro na Dodoma bureeeeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom