Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 583
Nina shida ya million 5 ni mtumishi wa umma nawezaj kupata mkopo na utaratibu upoje.Napokea laki 5
Benki sasa hivi zinatoa "usurious loans". Mikopo yao inakaribiana na "kausha damu". Ni bora utafute mikopo ya kwenye vikoba au saccos.Nina shida ya million 5 ni mtumishi wa umma nawezaj kupata mkopo na utaratibu upoje.Napokea laki 5
Wewe mtumishi wa umma wa mchongo kama sio mchongoma,hakuna mtumishi asiyejua kuwa siku hizi ess. Ndo sehemu mikopo inapatikanaNina shida ya million 5 ni mtumishi wa umma nawezaj kupata mkopo na utaratibu upoje.Napokea laki 5