Death after life
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 379
- 422
Niukweli mkuu nimeshawah kuunguza 40k timu ikiwa inaongaza 2 kipindi chapili daah..Hata uweke timu inaongoza 2 - 0 bado utaliwa
Niukweli mkuu nimeshawah kuunguza 40k timu ikiwa inaongaza 2 kipindi chapili daah..Hata uweke timu inaongoza 2 - 0 bado utaliwa
Hapo kwenye kulipa sana siyo kweli labda unafaidika na hiyo kampeni yako. Acha kuingiza watu kwenye uraibu wa hatari beting haina faida zaidi ya kumfanya mtu arudi kwenye sifuri.Nakushauli kua betting inalipa sana tuu ila uhakika wakushinda kila siku hakikisha unapewa matokeo najinn vinginevo utajuta san...ukiamua kuingia vitan beba vifaa vyote vyakukufanya umshinde adui..kwavyovyote vile..
Mbona watu wanashinda pesa?Hapo kwenye kulipa sana siyo kweli labda unafaidika na hiyo kampeni yako. Acha kuingiza watu kwenye uraibu wa hatari beting haina faida zaidi ya kumfanya mtu arudi kwenye sifuri.