Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,858
- 4,562
Inakuwaje wadau
Nimeambiwa kupitia betting unaweza ukaweka buku ukala laki hadi milioni
Pia ukiweka milioni moja ukimpa man united anashinda unaweza pata hata faida laki tano (kitonga hivi)

Nimeona isiwe tabu wanang wa JF wapo ngoja wanipe muongozo
Najua humu wapo wazee wa kutandika mikeka sugu
Swali: je ipo wapi hasara ya kubeti kama ndo mambo yapo kitonga hivyo?
Leo nitautandika mkeka wangu wa kwanza Man u anaua mtu