nataka na mie nianze kuimba bongo fleva.......

nataka na mie nianze kuimba bongo fleva.......

rebeca

Senior Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
190
Reaction score
27
nimeona ni rahisi saana,unaimba tu nanana naniniii nanana naniiniii *20 baaasi lol,na watu wananunua......lol

 
Last edited by a moderator:
itabidi utafute umaarufu kwanza,ukishapata jina unaanza kuimba nananaaa,ninninini nananana
 
...kuna utumbo wa nyimbo za bongo siwezi hata kuchukua sekunde yangu kusikiliza...
kama izo za naniii naniii na nananana...tutuutuuuuttt...!
 
Back
Top Bottom