umenena vyema mkuu wanaume ni watu wa ajabu sana.Wanaume mna roho ngumu hamuwezi fananishwa na kiumbe chochote hapa duniani. Ulivyoona mtoto amekua unamtamani. Mama yake amepitia mangapi katika hatua za kulea huyo mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaamini ni damu yako.kamchukue tu,haina jinsi.isije baadae isije tokea yakina mwana fa.mtoto anakuja kutoboa alafu baba yupo choka mbaya anakuja kumlilia mwanae aliye mkana mwanzo.Kuna pointi nimefikiria,nikasema labda nimuache tu
Anae baba yake na anaonja mapenzi yakeha ha ha ha kumbuka unamkatili mtoto....anatakiwa aonje mapenzi ya baba
Kwenye ukurasa wake ameweka na watoto wake wengineKama mawasiliano hayapo umejuaje kuwa kaolewa na ana watoto wengne??
ha ha ha huyo atakuwa ni baba wa kufikiaAnae baba yake na anaonja mapenzi yake
Pointi ya kuanzia ndio shida mkuuKama unaamini ni damu yako.kamchukue tu,haina jinsi.isije baadae isije tokea yakina mwana fa.mtoto anakuja kutoboa alafu baba yupo choka mbaya anakuja kumlilia mwanae aliye mkana mwanzo.
Mambo ya ujana mkuu
Hofu yangu mama yake anawezakukana si mtoto wanguHilo sio tatizo kubwa.kama mambo yaki kaa sawa.jina mnaenda kubadilisha.
Sasa hapo itakuwa imekula kwake.mkaushie tu.mtoto atapo mtaka baba yake atamleta tu wala usijali.ila kwenda lazima uende kumchukua ili uondoe lawama baadae.Hofu yangu mama yake anawezakukana si mtoto wangu
Nadhani ali-give upInaonekana hakutambui kuwa ulizaa nae,angekuwa anakutambua angewasiliana hata na ndugu zako,,,, huyo mtoto itakuwa ngumu sana kumpata
Hii hali inawakuta wengi mkuuNilimkataa babaangu mzazi kwaajili ya mambo ya kipumbavu kama yako. mdada wawatu kataabika kumlea et we leo ndo unamtamani baada ya kuona kanawilishwa na mama ake. Wanaume tuacha unyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajaribu kuchati naye inbox nione kama ataongelea hilo suala la mtotoSasa hapo itakuwa imekula kwake.mkaushie tu.mtoto atapo mtaka baba yake atamleta tu wala usijali.ila kwenda lazima uende kumchukua ili uondoe lawama baadae.
Kwa kipindi kile alikuwa anataka tuishi pamoja mke/mume....changamoto iliyokuwepo,yeye alikuwa na mwili mkubwa na nilikuwa na hofu,kuja kuishi naye itaonekana nimeoa dada yanguMwezi wa kumi na mbili mwaka 2008 mdada huyo alirudi likizo kwao na baadaye akatembelea kwetu akiwa na mtoto huku akiniulizia kwa wadogo zangu napatikana wapi, akiwaambia kama bado sijapata ajira niende nikaishi naye huko aliko...lakini hakuwaambia kama yule mtoto ni wakwangu
Mkuu kwa hayo maelezo hapo[emoji115] ulitaka viashiria gani vingine kwamba mtoto alikuwa wako na huyo ke alikuwa anakuhitaji??
Mi naona kama ulikimbia majukumu kiaina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu,lakini maisha ya hapa duniani ni vizuri mtu ajue asili yakeWrite your reply...huyo sio mtoto wako we ulikuwa tu sperm donor mkuu baba yake ni yule aliekuwa anamlelea kipindi chote we haupo
we kausha tuh kaa mbali na maisha yake na ni vyema usije ukamletea mtoto trauma bure
Sikutelekeza,kwa sababu kwa mara ya mwisho namtembelea chuoni hakuniambia kama ana ujauzito wangu.Ila kuna siku ba mdogo wangu alinitembelea nyumbani kwangu,akaniuliza ujaacha mtoto kwa mdada fulani?.....nilikanusha kwa sababu nilihofia anaweza kuleta mtafaruku kwa familia yangu ya sasa.Kwann utelekeze mtoto na mama
Akiwa mdogo lakin?
god is good