Nataka mke wa kuoa

Nataka mke wa kuoa

Tumbili in town

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2025
Posts
340
Reaction score
500
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nataka mke wa kuoa na sio natafuta,ninamaana .

Sifa zake ziwe;
Awe umri kati ya 19-23
Muislam
Kabila lolote
Awe brand new (BIKRA)
awe na uzioto 48-56
Elimu yoyote isipokua chuo
Awe mwembamba mwenye shepu
Akiwa na dimpoz itapendeza zaidi
Asiwe na mtoto
Mrefu kiasi na mweupe natural
Awe mcheshi
Asiwe na kazi yoyote
Awe tayari kuhamia Dar es Salaam

Sifa zangu;
Miaka 26
Nimeajiriwa hospital ya serikali
Nipo Dar es Salaam
Mweupe kiasi
Mrefu kiasi
Napenda drifting

Njooo inbox ukiwa unakidhi vigezo
 
Tumbili in town & Sureya
C29A9427-53F0-446D-9B85-A518D5062EF7.jpeg
 
mcheki huyu


mtoto bado m'bichii
 
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nataka mke wa kuoa na sio natafuta,ninamaana .

Sifa zake ziwe;
Awe umri kati ya 19-23
Muislam
Kabila lolote
Awe brand new (BIKRA)
awe na uzioto 48-56
Elimu yoyote isipokua chuo
Awe mwembamba mwenye shepu
Akiwa na dimpoz itapendeza zaidi
Asiwe na mtoto
Mrefu kiasi na mweupe natural
Awe mcheshi
Asiwe na kazi yoyote
Awe tayari kuhamia Dar es Salaam

Sifa zangu;
Miaka 26
Nimeajiriwa hospital ya serikali
Nipo Dar es Salaam
Mweupe kiasi
Mrefu kiasi
Napenda drifting

Njooo inbox ukiwa unakidhi vigezo
Hawa wenye sifa hizi hawamo humu JF kwa hiyo hawawezi kuona huu ujumbe
 
mcheki huyu


mtoto bado m'bichii
Ukiingia humo unakutana na libwawa hapo hata mix by yas ni ya kubahatisha si bora niendelee kuji dronedrake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom