Hope start
Member
- May 14, 2024
- 51
- 126
Mkuu hakuna bikra mweye izo kg jipange Tena au legeza mashart
Masharti yapi niyapunguze?Mkuu hakuna bikra mweye izo kg jipange Tena au legeza mashart
Soma Tena Uzi utajua wapi Kuna nyufa mkuuMasharti yapi niyapunguze?
Kwa vigezo hivyo,ta oda kwa Elon Musk akutengenezee roboti.Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nataka mke wa kuoa na sio natafuta,ninamaana .
Sifa zake ziwe;
Awe umri kati ya 19-23
Muislam
Kabila lolote
Awe brand new (BIKRA)
awe na uzioto 48-56
Elimu yoyote isipokua chuo
Awe mwembamba mwenye shepu
Akiwa na dimpoz itapendeza zaidi
Asiwe na mtoto
Mrefu kiasi na mweupe natural
Awe mcheshi
Asiwe na kazi yoyote
Awe tayari kuhamia Dar es Salaam
Sifa zangu;
Miaka 26
Nimeajiriwa hospital ya serikali
Nipo Dar es Salaam
Mweupe kiasi
Mrefu kiasi
Napenda drifting
Njooo inbox ukiwa unakidhi vigezo
Wagonjwa wanakua wamekonda hawanivutiiHukutani na wagonjwa na wanakuja kuuguza udake mmoja
Vigezo vipi nipunguzeKwa vigezo hivyo,ta oda kwa Elon Musk akutengenezee roboti.
Mbona unawaogopa wa chuo😂😂😂Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nataka mke wa kuoa na sio natafuta,ninamaana .
Sifa zake ziwe;
Awe umri kati ya 19-23
Muislam
Kabila lolote
Awe brand new (BIKRA)
awe na uzioto 48-56
Elimu yoyote isipokua chuo
Awe mwembamba mwenye shepu
Akiwa na dimpoz itapendeza zaidi
Asiwe na mtoto
Mrefu kiasi na mweupe natural
Awe mcheshi
Asiwe na kazi yoyote
Awe tayari kuhamia Dar es Salaam
Sifa zangu;
Miaka 26
Nimeajiriwa hospital ya serikali
Nipo Dar es Salaam
Mweupe kiasi
Mrefu kiasi
Napenda drifting
Njooo inbox ukiwa unakidhi vigezo
Wanachuo wengi malaya waliokubuhuMbona unawaogopa wa chuo😂😂😂