Nataka mfanyizia mbaya, naombeni ushauri wenu.

Vipi jamaa ana dada? tena kabinti kigoli? ka anako just Anza kukasalandia.., utachukua attention yake yote..)
 
Hasirs hasara mkuu, :pizza::kev: kama chamkoroma alivyokushauri hapo.. To be on the loosing side is not the end of the world my sweet wako anatakiwa aonyeshe uhirikiano wa kumkataa shetani na mambo yake yote :shock: Yeye sio bakuli linalo subiri kuhamishwa...!!
 
Kufanya hivyo siyo kutatua tatizo mkuu, ushauri wangu mm ni msimamo wa huyo seet wako tuu ndio utamfanya anayemfuata aache. Na kama huyo seet wako anakupenda anaweza kum expose mbele yako na kuwa naomba usinifuate huyo hapa ndiyo mmiliki. Simple and clear.

Wakumwitu kwi?
 
Aghrrr mapenzi ya watoto bwana ya kiswazi kiswazi, hiki nacho ndo kitu gani cha kuwashirikisha watu wenye akili zao.
 
Aghrrr mapenzi ya watoto bwana ya kiswazi kiswazi, hiki nacho ndo kitu gani cha kuwashirikisha watu wenye akili zao.

Pata ujumbe huu
I destroy my enemies when I make them my friends.
Abraham Lincoln.
Watu wenye akili ndio hawa, siyo wewe Bweg
 
je, huyo swity wako umefunga nae ndoa? Au unamega kisela? Kama umeoa nakushauri ukamshtaki kwa wazazi wake,
Maana tatizo ni huyo mwanamke, kwani jamaa alimlazimisha?
 
Kiongozi Issue hapa ni veri simpo.
Kwanza usiogope uwezo wake kifedha na wala hakuna sababu yeyote ya kufanya visa.Kuwa jasiri na jiamin. Money can't buy love mkubwa.
fanya mambo yafuatayo. lakin hakikisha kuwa huyo baby wako nae yuko serious isije kuwa nae anajipeleka halaf anakuambia anasumbuliwa.
1. Mwambie huyo baby wako amweleze kuwa hayuko tayari kuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi na pia amtaarifu kuwa hiyo issue pia ameshakueleza.
2. mtafute rafiki yake wa karibu wa huyo jamaa kama wewe hautopenda kuonana nae uso kwa uso,mweleze issue yote then akamweleze kuwa umemuomba kwa ustaarabu na busara asimsumbue baby wako. nadhan ukitumia ustaarabu atakuona mtu mwelewa na kama nae ni mwelewa basi ataacha na bila kuwekeana visa. usitumie shari wala visa maana nae atajibu mapigo
3. kama bado itashindikana basi mshauri baby wako abadilishe namba zake za mawasiliano pia ajaribu kuepeka kutembelea sehem ambazo ni rahisi kukutana na huyo jamaa. Mwisho kuwa karibu zaidi na baby wako muonyeshe mapenzi ya dhati. Ni hayo tuu kwa ufupi
 
Asante kwa ushauri wako mkuu
 
Jamaa ana madharau kweli kweli. Naomba unipe kisa kingine ili nikiache hiki.

Kunya kwenye mfuko wa Rambo afu upeleke kama parcel...

Najiamini sana, sifa zote ninazo. Ila jamaa anaua huyo, ukichangaya na mkwanja wake balaa tupu.

Kaka... inaonekana huyo swity wako anazimia mkwanja mbaya... si uliona mjumbe mmoja alisema hapa kwamba pesa ndio kila kitu. Sasa na wewe fanya kazi kwa bidii chuma pesa kwa wingi then swity wako atatulia... Nakutakia kila la kheri
 
acha kuhangaika na mtoto wa sheikh jiulize kwa nini mpenzio anachechetuka nae
 
mmmhhhh jamni wewe..
nani alikwambia dawa ya moto ni moto??
hapo kwa kweli unajidanganya..

na mie naona kama umeamua kufanya visa..
fanya lakini chunga usifanye kitu ambacho
kitaumiza familia nzima kwani si wote wenye makosa...
lakini si vema kabisa kudharau maadili ya dini ya mtu..
hapo kwenye kitimoto kweli sahau..
Borea umtokee live
kuliko kumuharibia nafsi yake..

kwa kweli haya mambo mie naona ni ya kitoto sana..
visa kama hivi havikufikishi mbali..
kweli hilo la nyama inaonekana ni jambo la kitoto sana
mtu mzima mwenye akili zake hawezi fanya hivyo..

Yaani hii imetulia mno! Imejaa busara tele na hekima za hali ya juu..ningekuwa naweza kukugongea 50 THANKS basi ningefanya hivyo. Ubarikiwe sana AD.

be honest with urself, show ur lover ww ni bora na mpenzi wa kweli kuliko huyo mwizi wa penzi, halafu huyo mwanamke kwani ni kondooo
hadi jamaa namchukua chukua tu? hakuamini, au ni yebo yebo? be careful usikute cha wote, maana kama navyojua mwanamke aliykuamini
ukamwonyesha how u man smart you are in sex & behaviour atakukubali na si rahisi kudanganywa hovyo, zidisha penzi kwake, na mweleze
mpenzi wako kuhusu huyo jamaa, just tune her
 
mmhh BAK
mmhhh acha hivyo wanifanya mie ni blash ...lol
asante sana dear
means a lot ...

Hahahahahahahaa hebu sogea hapa nikuangalie vizuri kama kweli una blush
A%20S%20embarassed.gif
LOL! Unastahili AD maana haya mambo ya kulipiza kisasi ni mambo ya kishenzi, wastaarabu hawafanyi hivyo.

Chukua kikaratasi andika maandishi ya kiarabu hata kama hujui kuyaandika wewe koroga tuu halafu kishonee na kitambaa cheusi na kidondoshe kibarazani kwao ila saikuone haha haha nakwambia watahama mtaa lol :heh::heh::heh:
 
Back
Top Bottom