Nataka mfanyizia mbaya, naombeni ushauri wenu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka mfanyizia mbaya, naombeni ushauri wenu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kwamtoro, Jan 22, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Jamaa mtoto wa Shekhe maarufu nataka mfanyizia visa mpaka aone dunia chungu. Nimemuonya juu ya kumsumbua my SWITY! bado anajifanya aelewi. Nataka anza mfanyia visa vya mgongano ndani ya familia yake ili vimsumbue akose muda wa kumsumbua my Baby.[/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot] Leo nimepanga kwenda kununua Kitimoto kilo moja, naifunga vizuri. Namtafuta mtoto aipeleke nyumbani kwao mida ya jioni kabla baba yake ajaenda kwa misikitini. Navizia akiwa amekaa kibarazani kama kawaida yake. Nitamwambia huyo mtoto kuwa, huyo mtoto wa shekhe kamtuma akamnunulie hiyo nyama. Nitamchukua mtoto mbali ya sehemu ninapoishi.[/FONT]

  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]Naombeni visa vingine wana wa JF, ananiudhi huyu.[/FONT]
   
 2. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Astafulaahiii! Unaijua alibadiri wewe
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Mbona sura yake ni kisa tosha!!
   
 4. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hukusema anamsumbuaje, huenda swity wako ndo anamsumbua jamaa. Take care kijana!
   
 5. M

  MFILIPINO Senior Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahaha,,,,,,, NO COMMENT
   
 6. M

  MFILIPINO Senior Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahha!!!!!!!!!!!!!!! No comment
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Sikushauri,usilipe ubaya kwa ubaya,maisha mafupi haya kufanyiana ubaya,mbona tumefanyiwa mengi tu.....

  We mtunze huyo sweety wako,akupende zaidi na asishawishike na wengine,huko kwenye shari yanaweza kukuta makubwa.

  usiende nakusihi!
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmhhhh jamni wewe..
  nani alikwambia dawa ya moto ni moto??
  hapo kwa kweli unajidanganya..

  na mie naona kama umeamua kufanya visa..
  fanya lakini chunga usifanye kitu ambacho
  kitaumiza familia nzima kwani si wote wenye makosa...
  lakini si vema kabisa kudharau maadili ya dini ya mtu..
  hapo kwenye kitimoto kweli sahau..
  Borea umtokee live
  kuliko kumuharibia nafsi yake..


  kwa kweli haya mambo mie naona ni ya kitoto sana..
  visa kama hivi havikufikishi mbali..
  kweli hilo la nyama inaonekana ni jambo la kitoto sana
  mtu mzima mwenye akili zake hawezi fanya hivyo..
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hahahahahaaaaah!!!
   
 10. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280


  Jamaa ana madharau kweli kweli. Naomba unipe kisa kingine ili nikiache hiki.
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe unajiamini??
  na je kuna trust kwenye hiyo relation yenu?
   
 12. C

  Chamkoroma Senior Member

  #12
  Jan 22, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikilia ndugu yangu, nikweli anamfanyia visa mpenzio, mbona kuna namna nyingi rahisi kumuepuka? abadili namba kama kweli yuko serious, ahame mtaa kama yupo serious, atoe taarifa police kuwa anasumbuliwa kama yuko serious, lkn k/moto kinaenda na majini, je unamajini mangapi ya kukulinda? kama huamini majini muulie jamaa mmoja anaitwa, Dr. Paul Hamis Hussein ameokoka anapatikana hapo dar(niko nje) yeye alikuwa shkh alikuwa anayatengeneza majini wewe utaweza? utaweza tu kama unaemsaidia ni mkeo wa ndoa, pia umpokee Yesu Christo kama Bwana na Mwokoi wako la tutakusahau hapa JF na mtaani pia, kama mpenzio hataki kubadili namba mwache mbona wapo wengi je, mama na baba na ndugu wakukose kwasababu ya mwanamke anekuja olewa na mwingine mara ukifa? utapata nini baada ya kifo?
  Wacha kabisa
  TUNAKUPENDA SN,
  TUNAKUTEGEMEA
  4 FUTURE.
  CHAMKY.
   
 13. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kufanya hivyo siyo kutatua tatizo mkuu, ushauri wangu mm ni msimamo wa huyo seet wako tuu ndio utamfanya anayemfuata aache. Na kama huyo seet wako anakupenda anaweza kum expose mbele yako na kuwa naomba usinifuate huyo hapa ndiyo mmiliki. Simple and clear.
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mi nakushauri msamehe tu, si anamsumbua tu, hakuna haja ya kuanza kufanya visa ambavyo hata wewe mwenyewe vinakuumiza.

  Kumbuka hapo unafanya visa kwa ajili ya nafsi ya mtu mwingine, huwa wanasema usiusemee sana moyo wa mtu.

  Mlizi wa huyo swity wako kwa asilimia kubwa ni yeye mwenyewe. Kama anakupenda na anamaanisha ktk hilo hata asumbuliwe vipi, bado atabaki kuwa wakwako tu.

  Hivi vita vya kimwili hivi angalia visije vikapelekea hata huyo swity mwenyewe akaja kukuona wa ajabu.

  TULIZA MOYO!!
   
 15. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Safi sana ila hakikisha unapoanza kufanya hivyo vituko ushachonga jeneza na kuhifadhi hela za mazishi yako... wasijesumbuka watakao baki!!!:suspicious: Na baada ya kukung'oa wewe sasa ndio kijana atakuwa free kumtafuna sweet wako, na utashuhudia mwenyewe ukiwa kaburini....
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ua paka mtaani kwenu, mfumnge vizuri kwenye parcel, kisha itume kwake... nakwambia hatorudia
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  [​IMG] mmmmmmmmhhhhhhhh hili pozi nimelipenda..... naomba tupige picha hivi ??
   
 18. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwanza nani alokwambia wanawake wanagombaniwa dunia ya sasa :A S-fire1:
   
 19. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Najiamini sana, sifa zote ninazo. Ila jamaa anaua huyo, ukichangaya na mkwanja wake balaa tupu.
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmhhh basi weye ongea na bibie..
  kuhusu hilo, mkazie mkanda kabisa
  mweleza jinsi unavyo jisikia kuhusu hilo.

  lakini wewe ukienda kugombana na huyu kijana
  mbele ya bibie hata naye atakuona mjinga...

  kwa kweli hiii dunia ya sasa si ya kugombana ni kuheshimiana tu..
  ka bibie anaheshima na anakupenda atakusikiliza..
   
Loading...