Nataka Magwanda ya Chadema

We unaleta utani katika serious issue tunataka ishara zote za kimapinduzi sasa kwa makonda ndio tutayapata hayo magwanda kuwa mstaarabu bwana.
 
magwanda yako ya kiume tu wanawake hawajapatiwa kwani nayoyaona wamevaa viti maalum si ya kike yaani hayawatoi sex teh teh ahaaaaaaaaa msinigombeze huwa napenda nikivaa kitu nikipita nistue japo kiduchu mwenye kujua naweza kupata wapi la hivyo anitonye
 
hizo namba unalizotupa hapo juu ni za nani???

Si na wewe uchague mojawapo uipige utamsikia mwenye nayo!!! Hawa jamaa siyo kama wale wa chama cha kijani, hawa wanapokea simu na mnaongea usitake kila kitu watu wakutafunie ndugu!!
 
Back
Top Bottom