Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

Sasa nyie wa kaka wa Tanzania tukivamiwa itakuaje jamani?mbona mna mioyo ya uoga hivi? vitani unavyoenda matokeo ni mawili.kufa ama kupona. . Ila ukiwa na spirit ya mapambano unaaamini utashinda na utarudi salama.. .. Hebu twendeni jamani Tanzania ni vijukuu vya Nyerere mkombozi😂😂😂
Hata Nyerere mwenyewe alitumia muda mrefu sana kutafakari kabla hajatoa Tamko la vita vya Kagera. Ss wahenga walisema msemo huu" Kunguru mwoga hukimbiza bawa lake" na wengine wakasema "Kwa mwoga huenda kicheko bali kwa shujaa kilio"
 
Aiseee huko ni pakwenda kupambana tu,maana kaanza kuua wanawake na watoto wasio na hatia.
 
Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦.

Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa, familia yangu imenituma niende mstari wa mbele wa mapambano, nikashike bunduki kumuondoa Mrusi ndani ya mipaka ya ardhi ya Ukraine 🇺🇦 aliyoiingia kimabavu.

Ndugu wana JamiiForums, naomba mine muongozo wa namna gani nitaweza kuyafikia malengo ya familia yangu ya kuwa askari wa hilarious wa Ukraine 🇺🇦.

Natanguliza shukrani za dhati.
Kule mtu mweusi ni nyani tu

Acha kujihangaisha

Kule sio ulaya wala sio U.S.

Kule watakupa ndizi
 
Znz wachukue notes JMT haiwezi kubali wajiengue afu wajiunge na watu wenye mrengo tofauti na JMT kitachofuata ni kichapo tu. Hatuombei bloodbath ila kichapo kitatembea pamoja na vikwazo.
 
Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia nchini Ukraine .

Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa, familia yangu imenituma niende mstari wa mbele wa mapambano, nikashike bunduki kumuondoa Mrusi ndani ya mipaka ya ardhi ya Ukraine aliyoiingia kimabavu.

Ndugu wana JamiiForums, naomba mine muongozo wa namna gani nitaweza kuyafikia malengo ya familia yangu ya kuwa askari wa hilarious wa Ukraine .

Natanguliza shukrani za dhati.
Kwanza nenda Njombe ukashinde kutwa na vest
 
Kikolo mi najua wewe ni team kiduku,putin or any one who is against the us,sasa imekuwaje tena?!
 
Sasa nyie wa kaka wa Tanzania tukivamiwa itakuaje jamani?mbona mna mioyo ya uoga hivi? vitani unavyoenda matokeo ni mawili.kufa ama kupona. . Ila ukiwa na spirit ya mapambano unaaamini utashinda na utarudi salama.. .. Hebu twendeni jamani Tanzania ni vijukuu vya Nyerere mkombozi
Tuna mshono
 
Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦.

Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa, familia yangu imenituma niende mstari wa mbele wa mapambano, nikashike bunduki kumuondoa Mrusi ndani ya mipaka ya ardhi ya Ukraine 🇺🇦 aliyoiingia kimabavu.

Ndugu wana JamiiForums, naomba mine muongozo wa namna gani nitaweza kuyafikia malengo ya familia yangu ya kuwa askari wa hilarious wa Ukraine 🇺🇦.

Natanguliza shukrani za dhati.
Tumeshindwa kwenda kumwagia jua maji Huko Ukraine utaweza kweli.
 
Back
Top Bottom