Nataka kwenda ulaya naomba msaada wenu

Nataka kwenda ulaya naomba msaada wenu

Hicho ni kiswedish nenda google translate au kama unatumia google chrome kunaoption ya kutranslate
Nashukuru mkuu kwahyo we upo huko kwa wenzetu sio??
 
Jipe mazoezi ya kwenda kuzugazuga pwani wanakokuja watalii kwa wingi kama Zanzibar vile! vyaa nguo za kimasai
 
Shared route
From Julius Nyerere International Airport to Ulaya via A7.

7 hr 30 min (332 km)
7 hr 39 min in current traffic

1. Head southeast toward Julius K. Nyerere Rd
2. Turn left onto Julius K. Nyerere Rd
3. Turn right
4. Turn left
5. Turn right
6. Turn left
7. Turn left
8. Turn right
9. Slight left
10. Slight left
11. Turn right
12. Turn left
13. Turn right
14. Continue straight
15. Turn left onto A7
16. At the roundabout, take the 2nd exit and stay on A7
17. Exit the roundabout onto A7
18. Turn right
19. Turn left onto B 127
20. Arrive at location: Ulaya

For the best route in current traffic visit Карти Google
 
Nina ndoto toka nikiwa Mdogo kwenda ulaya nikaishi huko.... Sasa naomba msaada kujua vitu vifuatavyo

1.ni nchi gan ambayo ina fursa nyingi za kukuingizia kipato haswa huko ulaya

2.ni nchi gan isiyokua na ubaguzi wa rangi yan mtu yeyote anaishi bila kubuguziwa ata kidogo..

3.ni nchi gan ambazo wanatoa scholarship za kusoma masters huko ulaya yan free

4.nan ambaye ka experience maisha ya huko ulaya na jambo gan alikutana nalo uwenda baya ama zuri ambalo hatoweza sahau..

5.anayejua utaratibu wa kufuata hadi mtu ufike ulaya...

Je! Kuna website yeyote ile inayo husika na michongo ya ulaya kama kikazi ama kimasomo.. Ama kuhamia kabisa iwe kama nchi yako..

Mwenye anajua naomba msaada huo kama kuna website tusaidiane.. Napenda sana maisha ya ulaya kiujumla..

KARIBU ULAYA BONGO....
Ukiishi Dar miaka mingi huwezi kuona fursa za maisha, utakuwa na akili ndogo ya kudhani maisha yapo ulaya tu, wakati hiyo pesa uliyonayo unataka kuitumia kama nauli ni mtaji wa kilimo kabisa,siku hizi tunaenda ulaya kutembea na siyo kuishi
 
Nina ndoto toka nikiwa Mdogo kwenda ulaya nikaishi huko.... Sasa naomba msaada kujua vitu vifuatavyo

1.ni nchi gan ambayo ina fursa nyingi za kukuingizia kipato haswa huko ulaya

2.ni nchi gan isiyokua na ubaguzi wa rangi yan mtu yeyote anaishi bila kubuguziwa ata kidogo..

3.ni nchi gan ambazo wanatoa scholarship za kusoma masters huko ulaya yan free

4.nan ambaye ka experience maisha ya huko ulaya na jambo gan alikutana nalo uwenda baya ama zuri ambalo hatoweza sahau..

5.anayejua utaratibu wa kufuata hadi mtu ufike ulaya...

Je! Kuna website yeyote ile inayo husika na michongo ya ulaya kama kikazi ama kimasomo.. Ama kuhamia kabisa iwe kama nchi yako..

Mwenye anajua naomba msaada huo kama kuna website tusaidiane.. Napenda sana maisha ya ulaya kiujumla..

KARIBU ULAYA BONGO....

ndugu baki hapa kama unatafuta maisha,huko ni kugumu kwa kila jambo,wewe hapa utakuwa moja ya mlalamikaji wakusema serekali yetu ukusanyaji wa kodi,huko baba kila kitu kodi mpaka chakula,wakati huku free
 
Nikweli kabisa bongo kuna uhuru wa kupitiliza, yaani kiujumla maisha mazuri yapo Africa labda kwa wazungu uende kutafuta hela tu na kurudi kuzitumia bongo.
 
Si kila ndoto lazima uitimize mkuu,, cha muhim angalia uhalisia usiongozwe na Id
 
Inategemea na masomo unayotaka kusoma. Kwa kuishi bila tabu ni inchi za Scandinavia moja wapo ni sweden (hiyo ni kutokana Na experience yangu) sijawahi kusikia ubaguzi wowote Huku Na hiyo yote ni kwasababu wana sheria kali sana. Kama ni kwaajili ya kusoma masters chukua hii website www.si.se unaweza bahatika.
Website nzuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom