akilimali Tb
Member
- Sep 19, 2018
- 16
- 12
Wadau nijuzeni natarajia kusafiri muda so mrefu najiuliza je Pesa nachenjiwapi? Naje benk za Kenya ukiingia na kadi ya Tz unapatahuduma?
Kama unapitia border ya Namanga pesa utabadilishia ofisi za Immigration Namanga ya Kenya ....Lakini pia kuna wasomali upande wa Kenya wako boda pale ndo kazi zao hizo na rate zao ziko poa sanaWadau nijuzeni natarajia kusafiri muda so mrefu najiuliza je Pesa nachenjiwapi? Naje benk za Kenya ukiingia na kadi ya Tz unapatahuduma?
Nebda bank of Africa nairobi utapata huduma zote, usisubutu kutembea na pesaWadau nijuzeni natarajia kusafiri muda so mrefu najiuliza je Pesa nachenjiwapi? Naje benk za Kenya ukiingia na kadi ya Tz unapatahuduma?