Mwana kwetu vip ten usifurahishe nafsi yako ukasahau kumfurahisha Alosimamisha mbingu bila ya nguzo kama umeamua kumfurahisha huyo umpendae unaweza ukamfanyia chochote ambacho hatakisahau katk kumbukumbu zake tattoo ni haramu na ni dhambi pia ngoj niishie hapa.Najua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya Walawi 19:28Nilikuwa nataka sana kuchora tattoo ila kuna siku kama zali tu nikafunua kitabu cha Mambo Ya Walawi katika Biblia Takatifu, niliishiwa nguvu kwa maneno yale.
Nilishasahau mstari wa ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa nilimuona anatoa ushuhuda kanisani kwa nabii Magaya wa Zimbabwe kupitia Yadah tv anaeleze jinsi gani tatoo zilivyo demonic na ni dhambi na aliquote mstari kutoka mambo ya walawi
Yani jamaa alijichora kila sehemu ya mwili wake...na ye mwenyewe alikuwa mchora tatoo
So think twice
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh nakutakia kila la heri bibie
Ingekuwa tatoo ya kwenye makinikia ningekupm namba yangu ili nije kukuchora mwenyewe,km ya kwenye mkono wadau watakupa location ya zinakochorwaNajua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] no problem hata hapo poaUmechelewa kiduchu tu kuchukua namba yako Mkuu.
usihalalishe halali kua haramu ili kufurahisha binadamu
am sorry lakini ila tunaambiwa kuna maisha ya barzakh...
nadhani account yake imevamiwa na kipenzi chake @ hr666 kama si hivyo basi LadyAJ anataniausihalalishe halali kua haramu ili kufurahisha binadamu
am sorry lakini ila tunaambiwa kuna maisha ya barzakh...
mi pia mpenzi wa tatuu nilitamani niwachore mabinti zangu "geniveros"ila daah naogopa kwa Mungu tuuuu kwenda na kidhibiti mwilini[emoji2] [emoji2]Hizi tattoo aisee Mh! kuna watu wameanza kuweka mpaka usoni! Na wengine miili yao imejaa tattoo kila sehemu ya miili yao hata kupoteza ile rangi ya miili yao, lakini kuna baadhi zinapendeza mno hasa kwa warembo zilizowekwa kwa utalaamu mkubwa.
Hahaha! Ngoja tungojemimi pia nataka kuchora chura basi tu kwa raha zangu.ukipata fundi unishtue mami
Kuna aina ngapi kwani? Maana sio mjuzi wa hii kitu mie ila nataka kuandika tu jina pekee