Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
- Thread starter
-
- #41
Sawa Mkuu,naona network mwisho mpaka wa Tanga na kenya sioUsibebe bangi.
Kama uko Dar naenda hapo Lumumba gari ziko tele. Utagonga Pp Horohoro pande ya mpaka ya Tanzania unaenda gonga tena Lunga lunga pande ya Kenya unafika Mombasa baada ya kuvuka Ferry Likoni.
Mwembe tayari ndio mwisho wa bus yako.ukiwa na swali uliza
Asante Mkuu nataka kupitiliza kwenda MalindiUnatafuta mawaidha kutoka kwa watz kuhusu safari ya Kenya?Watakuzingua bureee!Mada yako ungeiweka Kenya forums wakenya wangekukaribisha vizuri tu!Usiskize hizo hadithi za vijiweni.Kenya utafika na kutoka ukiwa mzima,Mombasa raha utataka kurudi tena.Kama ulivoambiwa paspoti,kadi ya yellow fever tu,hapo sawa.Ukifika usiwe na wasiwasi bora usiombe vitu unapoagiza,iwe mkahawani au dukani.Fanya kama mkenya,sema nipe soda moja,haraka!Au ukipenda uwe nyang'au kabisa sema wewe mathe(dada) au we buda(kaka)!Leta Soda na kaimati haraka,chap chap!Haha!Usiogope kujitambulisha kama mtz,wakenya wanapenda watz achana na utani wa hapa jf.Utapata rafiki wapya kwa wingi tu,bora usiwe mtu wa kunyamaza sana.Cheka,furahia ongea na watu,hata usiowajua.Karibu Kenya!
Malindi kuzuri pia,wenyeji wa huko ni wastaarabu kweli.Kama wewe ni mtz wakweli watakupokea vyema tu.Usishangae kusikia watu wa Malindi wakiongea kiitaliano.Ijapokuwa mimi siwapendi waitaliano kabisa.Kwa maoni yangu wameichafua Malindi kwa tabia zao na kuharibu tamaduni za ustaarabu na uungwana za wamijikenda ambazo watu wa Malindi wamezizingatia tangu enzi ziiile!Asante Mkuu nataka kupitiliza kwenda Malindi
Kenya nchi ya watu 40million umeichukia kwa ajili ya mtu mmoja?Haya basi,kwa raha zako!Ila si uungwana kumuita mwanamke malaya,bure tu!Familia ya Magufuli wenu na familia ya Odinga ni marafiki aisee.Unaenda kenya kwa hao ma al shabab kufanya nini? from now kenya naichukia coz huyo malaya mtoto wa odinga
U rafiki wa Baba na watu wengine hauwezi kunihusu, km nitaona unatavuka mipaka. sitajaliKenya nchi ya watu 40million umeichukia kwa ajili ya mtu mmoja?Haya basi,kwa raha zako!Ila si uungwana kumuita mwanamke malaya,bure tu!Familia ya Magufuli wenu na familia ya Odinga ni marafiki aisee.
Sitarajii kufika nairobiUkienda Kenya hasa Nairobi,inawezakukulazimu kukaa ndani kama mwali.maana ukitoka unaweza usirudi kwa sbbu ya hv vitu.,
1.alishababu
2.police wa kule hawana utani kabisa.
3.wahuni wa kule n by profesional
4.
5.
Wewe ndio utamzingua. Mimi ni mtanzania Niko nje, nimekaa Kenya zaidi ya miaka 10 nimemuasaa nyanya mbovu akiwa na swali aniulize nitamwelekeza mpaka ndani ya MombasaUnatafuta mawaidha kutoka kwa watz kuhusu safari ya Kenya?Watakuzingua bureee!Mada yako ungeiweka Kenya forums wakenya wangekukaribisha vizuri tu!Usiskize hizo hadithi za vijiweni.Kenya utafika na kutoka ukiwa mzima,Mombasa raha utataka kurudi tena.Kama ulivoambiwa paspoti,kadi ya yellow fever tu,hapo sawa.Ukifika usiwe na wasiwasi bora usiombe vitu unapoagiza,iwe mkahawani au dukani.Fanya kama mkenya,sema nipe soda moja,haraka!Au ukipenda uwe nyang'au kabisa sema wewe mathe(dada) au we buda(kaka)!Leta Soda na kaimati haraka,chap chap!Haha!Usiogope kujitambulisha kama mtz,wakenya wanapenda watz achana na utani wa hapa jf.Utapata rafiki wapya kwa wingi tu,bora usiwe mtu wa kunyamaza sana.Cheka,furahia ongea na watu,hata usiowajua.Karibu Kenya!
Ok jitahid ufike Nairobi mkuuu ukamsalimie na Rosemary Odinga .Sitarajii kufika nairobi
Wewe ni wa Manzese uzuri kaa huko huko sjui hsta alikufunfisha nani kutumia hiyo Simu na kujieleza upungufu wako usioweza haya sikiizwa na mtuSitarajii kufika nairobi
SawaOk jitahid ufike Nairobi mkuuu ukamsalimie na Rosemary Odinga .
Acha uongo wewe!Sijui haya maneno ya uzushi wa kitoto watz mnatoa wapi,ni hadithi zile zenu za vijiweni vipi?Nairobi tunachapa kazi kila siku.Nairobi ni salama hakuna uoga wa ugaidi wala nini,afu hamna vikundi vya uhalifu tena.Wahuni gani unaongelea mara ya mwisho ulisikia eti wezi wenye silaha kali wamevamia watu au biashara au benki nairobi ni mwaka gani?Kama wewe si mhalifu unawaogopa polisi kwanini?Polisi wako hapo kwa usalama wa nchi na raia wake!Ukienda Kenya hasa Nairobi,inawezakukulazimu kukaa ndani kama mwali.maana ukitoka unaweza usirudi kwa sbbu ya hv vitu.,
1.alishababu
2.police wa kule hawana utani kabisa.
3.wahuni wa kule n by profesional
4.
5.
Mombasa napo ukienda unaweza kujikuta unajibadilisha jinsia.Sitarajii kufika nairobi
Nairobi ipi?au ile ya mombasa!!Acha uongo wewe!Sijui haya maneno ya uzushi wa kitoto watz mnatoa wapi,ni hadithi zile zenu za vijiweni vipi?Nairobi tunachapa kazi kila siku.Nairobi ni salama hakuna uoga wa ugaidi wala nini,afu hamna vikundi vya uhalifu tena.Wahuni gani unaongelea mara ya mwisho ulisikia eti wezi wenye silaha kali wamevamia watu au biashara au benki nairobi ni mwaka gani?Kama wewe si mhalifu unawaogopa polisi kwanini?Polisi wako hapo kwa usalama wa nchi na raia wake!
Wewe acha kudanganya mwenzako.Kama hujui kitu sema hujui tu.Mambo ya mabasha na maboflo mnayajua wenyewe nyie watu wa shinyanga.Rudi kwenye viroba na bange kisha ukalale,unatia kichefuchefu!Mombasa napo ukienda unaweza kujikuta unajibadilisha jinsia.
Malindi utapata gari pale pale Mwembe tayari nauli ni kesi 250 kama hawajapandisha ni mbele ya kilifi.Asante Mkuu nataka kupitiliza kwenda Malindi
Unaleta ubishi kwenye maswala usiojua.Nairobi tuko kila siku tunafanya kazi bila wasiwasi au shida yeyote.Wewe ulikomalia vijiweni hata pasipoti unayo?Hata dar mjini sidhani umefika wewe.Heri mwenzako ameshapanga safari,au unamuonea wivu?Wacha achape safari ajionee mengi,atakupa ripoti akirudi,kaa huko huko uliko,hivo hivo tu ulivo maanake watu wanaokatwa vichwa bila huruma huku Kenya ni wambea kama wewe!Nairobi ipi?au ile ya mombasa!!