Nataka kwenda chuo

Prince naithy

Member
Nov 18, 2015
57
3
Jamani naombeni msaada wenu ni mepata 4 ya 26 ila mathy na phys nina C na bios na chemis ni na D napata chuo gani na labda chuo cha afya naweza kwenda na fact gani
 
Hapo labda kwa level ya certificate unaweza enda kozi yoyote but competition will matter
 
Back
Top Bottom