Nataka kwenda Brunei, ubalozi wake Dar uko wapi?

Ubalozi wao upo Morogoro maeneo ya Kiloka, karibu na Maharaka kwa Mgeta kule Matombo na Halwego ukerewe maeneo ya Nkilizya na Bukongo jirani kabisa na Murutunguru kwa Nakatunguru au Kihonda kwa Chambo karibu na Lubale kwa Buganguzi.
 
Dah haya majani unayovuta ni noma
 
Mkuu mwambie huyo bibi yako antafutie mwenzake,usisahau kaka maisha haya tunayoishi hapa bongo hayaeleweki ni rangi gani.
 
Komaa hata mimi niliaza kama matani na kutukanwa sana hapa JF.Mara nikaitwa mario na majina kibao
 
Ubalozi wao upo Morogoro maeneo ya Kiloka, karibu na Maharaka kwa Mgeta kule Matombo na Halwego ukerewe maeneo ya Nkilizya na Bukongo jirani kabisa na Murutunguru kwa Nakatunguru au Kihonda kwa Chambo karibu na Lubale kwa Buganguzi.
Nahisi itakuwa bangi ya mara musoma kama sio basi uliyovuta itakuwa haijatolewa mbegu..
 
Kule aliposema prof Jay ukamwage radhi
 
Back
Top Bottom