nYuni the Great
Member
- Oct 17, 2016
- 34
- 17
Anaejua ubalozi wa Brunei hapa Bongo anielekeze nataka kwenda kiomba visa ya kwenda huko.
Jamaa hawana balozi nyingi Africa,ila Asia na Europe ndiko zilikojaa.Angalia hii.Anaejua ubalozi wa Brunei hapa Bongo anielekeze nataka kwenda kiomba visa ya kwenda huko.
Amna hiyo ni Nchi ambayo Bado mpaka leo wanatumia mfumo wa kifalme na ni nchi inayoongozwa kiislamuHuo so ni mji wa kwenye Biblia huo?
Sasa muulize Huyo demu wako alipataje visa ya kujabongoNimepata Demu huko, sasa anataka kunitumia Barua ya mwaliko kwa ajili ya kupata Visa sasa ndio sijui Embassy yake iko wapi.
Niingia kwenye website ya UK embassy kuuliza Kama naweza kuipata visa requirements ya Brunei kwasababu wao ni Colonial lako, wakaniambia kuwa watanijibu within 14 days.Egypt na Morocco tu utapata visa au nenda ubalozi wa UK
Yeye alipata visa kupitia Embassy ya Tanzania kupitia Singapore ambayo ni Asian countriesSasa muulize Huyo demu wako alipataje visa ya kujabongo