Wee babu Asprin jionee huruma, kila mtu unamdaka hivi huwa unatumia mwamvuli kweli?
Usijetuacha tu yatima. Mgeni wa jana anatafuta mume naona utamfaa sana. Changamkia fursa hiyo, mi niko busy kutafuta jenereta la kumsaidia sungura1980.
Babu hana ishu huyu yana karibia kumshinda
Afu wewe!!! We niharibie moves zangu uone kama sijakumimbisha mimba ya Regnald Mengi. Utajifungua mpaka uombe poo.
Looohh! Babu we yamekua hayo tena
Mwamvuli wa nini wakati hakuna mvua? Hebu nitupie link ya huyo mpendwa nimkague kama anafaa. We endelea kula majani na kisungura chako.
Babu wivu mbaya sana. Sungura wangu anakukondesha, unatamani ungekuwa wewe kwenye nafasi yake.
Huyo mgeni si ni huyuhuyu a.rahabu ambaye hujui kama ni me au ke?
nimesikia watu wanachunguzwa nn humu
Hivi tumekubaliana nini na unasubiri nini? Nikibadili mawazo utamlaumu nani?
Huu ndio mtindo wa cc kuchakachua thread! Asprin unachekesha sana aisee inabidi uunde komed group
Nipigie ndogondogo kwa Bantu lady. Nimegundua nikiwa nae tutatoa bonge la komedi. Ukifanikiwa ntakukabidhi 'Valentina' mkagonganishe vikojoleo vyenu kwa gharama zangu.
Hahahahaha eti kugonganisha vikojoleo!Naomba kuelezewa kwa undani maana yake
Yani huyu ndiyo katia mkosi thread ya mwenzake. Ona sasa mambo yake,yani angekua karibu mi ningemtia nakoz
Twende PM nikakuelekeze kwa vitendo. Kama vipi ntumie no ya simu nikuwozap lokeshen yangu. ila kama uko kwenye zile tarehe zenu nuksi, chondechonde do not disturb mimi ze oldest grandpa Afrika Mashariki, kusini na kati ukiitoa Zimbabwe.
Ngoja nikufate huko mie nataka kwa vitendo zaidi ili nielewe somo
Thats my girlie. sasa kiambie hicho kivalentina dei, kitu liiv us aloon. Somo halihitaji distabans ya mtu wa tatu. Hakikisha unakuja without ili kuokoa muda.
Nipigie ndogondogo kwa Bantu lady. Nimegundua nikiwa nae tutatoa bonge la komedi. Ukifanikiwa ntakukabidhi 'Valentina' mkagonganishe vikojoleo vyenu kwa gharama zangu.
Nitakuja kwako kama nikijua unahimili dakika 90 za mchezo bila kupumzika. Pili kama koni ni tamu sana kuliko zote.
Ndio tutaunda hilo kundi la comedy tutunishe account zetu.