Nataka kuwafahamu

Sijashindíkana, mkijituma mtanishinda. Sasa lini tufanye?

Uwiiii we babu kiboko heee. Valentina come thiz way sweet. Hivi atatuweza sisi?
Hivi unajua sisi bado kabisa tutakuvunja nyonga tu wee babu, bibi apate kazi ya kukuuguza.
 
kwani kujuana vibaya jamani hv kutakuaje na mgeni sehemu asiye uliza hata swali wakati chansi anayo
 
Uwiiii we babu kiboko heee. Valentina come thiz way sweet. Hivi atatuweza sisi?
Hivi unajua sisi bado kabisa tutakuvunja nyonga tu wee babu, bibi apate kazi ya kukuuguza.

Msiache kunipa report mkishamvunja babu nyonga zake
 
kwani kujuana vibaya jamani hv kutakuaje na mgeni sehemu asiye uliza hata swali wakati chansi anayo

Karibu sema umefika siku ya leo kuna pilika pilika za Valentine. Kuna viongozi humu watakupokea, sisi tumeshakukaribisha mamii. Utajibiwa maswali yako yote.
 
Last edited by a moderator:
yaani jinsi ulivyo ndo nilivyo mm kama mapacha walioshare bibi na babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…