He he he,
Eiyer umenigusa
Kijana wangu alianza kuwa anasema ana macho unique, mind you below 10, kwanza nikashangaa kajuaje macho yake yako unique.
Nikamuuliza, umejuaje? Akanijibu kina fulani huwa wananiambia.
Nikampiga marfuku kwenda kwa akina fulani kuanzia siku hiyo, nikaanza kumponda kwa dozi bila huruma.
Hakurudia tena kusema hayo
Nilichogundua kuwa, sometimes watu wanaokaa karibu na watoto wanawaharibu kwa kuwasifia sifia kijinga.