ChrisMsofe
Senior Member
- Nov 22, 2013
- 164
- 84
Kwa jinsi ninavyoona mpaka kijana kufikia hatua yakutaka kuwa na uso soft hajaanza leo inamaanisha keshatumia make up amechoka sasa iv anataka aviweke pembeni.....na ni hawa vijana wanaojiita masharobaro unakuta wamelelewa ki mayai toka wakiwa wadogo ndomana hata kazi kufanya inakuwa tabu mimi sizani kama mwanaumekweli unataka uso kuwa soft ..kweli kunakazi unayofanya..Unamajukumu....unamalengo uliyojiwekea... Huyu mimi naona amepoteaMkuu OLESAIDIMU hata mwanao wa kiume huwezi kumuacha aanze kujisifia dady mimi ni handsome au mimi nataka niwe na uso kama wa mama utamwambia wazi hayo sio yako wewe pambana na maisha
Sijui anataka huo uso soft afanye nao nini au ampendezeshe nani
Mwalimu gfsonwin hebu njoo hapa bana umepotea sana
Na bora iwe hivyo ,isije kuwa ni habari ya watu wa mrengo wa kinyumeWacha tuu mkuu na ingependeza zaidi Mods wakaitoa thread kama hii haina cha maanacha kujifunza
cc Invisible
Mkuu umenifanya nicheke sana....Heti anajisifia ana macho mazuri?? Dah kweli Dunia inaelekea pabaya inamana sasa kama ana macho mazuri tumfanyeje sisi..mhhhh
Kwani scrub kazi yake nini??!!!!Wengine hapa mnaponda mkitoka hapa mnaenda saluni kupiga scrub......maisha bila unafiki hayaendi
Sasa wewe hapa umenimention ili iweje........au umeona ushauri niliompa sio wenyewe........?
Tafuta pesa kama wewe ni (me) huku kwenye michakato utakutana na yoote hayo kuanzia complexion ya usoni mpaka kucha za miguu!!!!!!
Siku ukiona wanaokutegemea wako na furaha na wana enjoy uwepo wako basi automatically utaridhika tu utalala pazuri,kula pazuri achilia mbali body products zenye hadhi na ubora ambazo zitaleata tu hiyo complexion unayoiota! !!!!!!!
Kama wewe ni mwananaume mwenzangu na kijana asee komaa na kujenga uchumi achana na kukomalia muonekano sijui nikitoka kuoga ooonh nikiwa kitandani!!!!!
After all hata ukiwa na muonekano mzuri halafu wanaokutegemea wanateseka we unaona fahari gani????!!
Wakubwa Babu D.C. Kaizer, Asprin, The Boss mshaurini huyu mtoto wa kiume!!!