Nataka kuwa mwanasiasa

Umesomea sheria halafu unataka kuwa Mwanasiasa? very interesting ni kwa usijiunge na kituo cha msaada wa kisheria ili uweze kusaidia watu wengi zaidi kupata haki zao?
Mkuu Matola,hata nikiwa mwanasiasa nitahakikisha watu wanapata haki zao tu
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nakupongeza kwa kufikiria kuwa mwana siasa wazo hai kabisa. ktk siasa kuna kazi kuu mbili 1. kuwa kiongozi wa chama cha siasa 2. kuwa mwakilishi wa chama. wananchi katika serikali kuanzia. m.kiti wa mtaa, diwani, mbunge. sasa mimi nakushauri uingie ktk siasa kama mwakirishi. usiwe kiongozi wa chama sababu zipo nyingi ambazo siwezi kuzieleza hapa. pia nakushauri kutokana na hali ilivyo sasa chama cha siasa ambacho kina kufaa ni CHADEMA sababu zipo ila siwezi kukwambia ninakushauri kama upo tayari kupata ushauri zaidi weka namba zako za simu tukutafute. kumbuka hakuna aliye zaliwa mwanasiasa hivyo wewe utakuwa bora kama utataka kuwa mwanasiasa bora.
 
Hakuna Chama chochote kile cha Siasa kinachofaa hapa nchini Tz, vyama vyote ni "wale wale tu."
 
Ili ufanikiwe na uwe tajiri kwenye hizo nchi ulizo taja, ina bidi uwe karibu na siasa na wanasiasa kwa ujumla.
Matokeo yake ni kwamba lazima utakuwa na mafanikio haramu, mafanikio ya magumashi na ya wasiwasi yasiyokuwa Endelevu (Unsustainable development/ achievements).
 
Kama Hadi muda huu hujajua ni wapi patakifaa, maana yake hufai kuingia kwenye Hilo tamanio, maana yake hujui agenda za vyama vilivyopo nchini.
Ni vema ukaendelea kuitumikia nchi kwa taaluma yako, maana Kuna maeneo mengi yanayohitaji utatuzi kupitia taaluma yako
 
Matokeo yake ni kwamba lazima utakuwa na mafanikio haramu, mafanikio ya magumashi na ya wasiwasi yasiyokuwa Endelevu (Unsustainable development/ achievements).
Matajiri wa nchi zote duniani wana mahusiano ya karibu na siasa na wanasiasa.
 
Hakika Mkuu. Kwa miaka kumi nimeshindwa kuamua kuwa mwanasiasa. Naendelea na taaluma yangu tu
 

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ongezea ubobezi kwenye UJINGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…