Lameck Dunia
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 291
- 45
mujesh anavokfa mwanajesh anazaliwa mi mwenyewe ni mjesh mtarajiwa bora nkafe kuwatetea vlaza wabongo ndege iliyomleta raic wa chna iliondoka na tembo duu tz ngoja niende jesh na ka elimu kangu ntawakazia mura
Mh, nilikwepakwepa kwenda jeshi toka namaliza kidato cha sita, sasa hivi naona sina ujanja....maji yamenishika shingoni...sikufikiria kama siku moja nitakuwa mwanajeshi, ila naona ndivyo inavyokwenda kuwa...najiandaa tu kisaikolojia hivi sasa. Hayo mazoezi ndio siyapatii picha, kama hadi ule ganja ndio uendane nayo...sijui!
mujesh anavokfa mwanajesh anazaliwa mi mwenyewe ni mjesh mtarajiwa bora nkafe kuwatetea vlaza wabongo ndege iliyomleta raic wa chna iliondoka na tembo duu tz ngoja niende jesh na ka elimu kangu ntawakazia mura
Jwtz ,....
...
nataka jeshi kubwa kama korea kaskazin lenye wataalam kisayansi,kiteknolojia,uchumi,kijamii,kimichezo,kiutamaduni wengi,asiyetaka akaishi uhamishon mpka ntakapokufa
Dah...! Kisaikolojia nimejiandaa vya kutosha....hayo mazoezi....nitaweza tu bana.. I am a man!Hahahaa hizi kazi sasa zinatafutwa kwa tochi. Kule utakiwi kwenda nusu nusu watu huwa wanazimia kule babake. Kma nyie ndo wageni mnakuja mnawakuta wanaomalizia wanajiandaa kuondoka hao ndo wanawapa mazoezi bwana weee n kama mtihani anatunga mwanafunzi mwenzako anataka ufeli umuone yeye nomaaaa. Hakuna kulalaaa utembelee vipepsi posta hadi kibahaa mchezo nini
Mkuu ndoto zako za kuingia JW ushatimiza?
JKT ishafanya usaili na usaili wa JW unafanyika
Uo usaili wa jw umeanza lini
Ulizia wa mujibu wa sheria watakuambia
Nisaidie wanajamiiforums eti ukiwa mwanajeshi unakuwa na tabia mbaya kama kuvuta bangi, kuwa mlevi, kupenda wanawake ovyo, na mwisho unaweza kufa muda wowote vikitokea vita.
Mwenzenu nipo njia panda mama hataki kabisa kusikia habari za jeshi namimi ndo kazi ninayoipenda.