telfontelfon
Member
- Jul 2, 2018
- 40
- 125
Mdogo wangu kwanza unaakili sana, na umetumia busara kutafuta usharu wa hilo swala.Wakubwa Zangu Shikamooni Mimi Kama Kijana Wenu Age 20 Nina Ndoto Zakuja Kuwa Msomi Mkubwa Sanah Katika Masomo Ya Uchumi So Nivitu Gani Nifanye Ili Niweze Kufikia Ndoto Yangu
Kipi Ni Boreshe Zaidi Katika Masomo
Plz Nisaidien Mdogo Wenu
Soma acha porojo
DuuuhInaonyesha unajitambua dogo. Wenzako wakileta mada humu ni kuachwa na mpenzi hivyo wanalialia humu ili kutafuta huruma na kupoza machungu ya kuachwa, au anatafuta jimama limlee, au kuna demu kamuona kitaa hivyo kaja kuomba ushauri wa mbinu zipi atumie ili amliki
Kuna uzi flani unaitwa "aina ya wanafunzi darasani pindi mwalimu akiuliza swali" tunaomba ukawakilishe hoja yako mkuu[emoji378]Soma acha porojo
Soma acha porojo
Inaonyesha unajitambua dogo. Wenzako wakileta mada humu ni kuachwa na mpenzi hivyo wanalialia humu ili kutafuta huruma na kupoza machungu ya kuachwa, au anatafuta jimama limlee, au kuna demu kamuona kitaa hivyo kaja kuomba ushauri wa mbinu zipi atumie ili amliki
Tafuta vitabu vingi vya uchumi ujisomee.
Ingia internet, YouTube, na kila mahali tafuta maarifa.
Changamana na watu wa fani yako na jaribu kuokoteza machache kutoka kwao.
Hakikisha unafaulu mitihani.
Ukienda advanc somaa hge au EGM, piga one yako kali, nenda mliman soma BAE, toka na first class yako apoo, piga masters, phd, utakuwa kama lipumba,,,, izo ndo njia alizo pitia mwanauchumi anae tesa Tanzania mh Lipumba,,,,, japo phd alipigia stanford university Marekani, alikuwa mwanafunz bora mwaka 1972,pugu sekondari kwa kusimamisha AAA, akiwa anasoma EGM, akaacha ahadi kuwa mwanafunz atakaye fikisha iyoo record ata msomesha chuo mpaka anamaliza, na hajawah tokea, soo unaweza fuata nyayo za huyo mtu kutoka Tabora, japo huwez kuwa kama yeye