Huku mtaani kwetu wale wanaotajwa Kama wachawi ni hohehahe hawana mbele wala nyuma wapogo tu, wengine eti ni chuma ulete ila ni masikini hawana hata chakula hata nguo.
Ni kazi ngumu! Utaweza kugonga ukuta kwa matako upasuke uingie ndani? Utajigeuza mbu, poa ukiuwawa kama mbu anavyouwawa itakuwaje? Ni kazi ngumu acha!! Bado hujatoa kafara watoto wako! Utaweza kula nyama za kutoka makaburini?
Huku mtaani kwetu wale wanaotajwa Kama wachawi ni hohehahe hawana mbele wala nyuma wapogo tu, wengine eti ni chuma ulete ila ni masikini hawana hata chakula hata nguo.