iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,918
- 2,153
Akiwa nayo ya 5 anapataumenifanya nicheke sanaa!
"Je umejiandaaje usipoipata hiyo kazi, au chuo ni cha familia?"
Akiwa nayo ya 5 anapataumenifanya nicheke sanaa!
"Je umejiandaaje usipoipata hiyo kazi, au chuo ni cha familia?"
Hiyo 5 ni unreachable asee 😅🤣🤣🤣Lecture wa chuo gani ?
Ukiwa mayo 5.0 hii ni multi-purpose
😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaahAngalau uwe na 3.8 kupanda. Ila kutokana na kuwa wengi wanazipata hizo 3.8 yakupasa jiweke kwenye 4.2-5.
Je umejiandaaje usipoipata hiyo kazi?
Au chuo ni Cha familia yenu?