Nataka kuwa Lecturer, ninahitaji GPA ya ngapi?

Nataka kuwa Lecturer, ninahitaji GPA ya ngapi?

Wadau mambo vp?

Mim nataka niwe lecturer na ninasoma bachelor of science with education vp nahitaji GPA ya ngapi ivi??
Ili uwe lecture unatakiwa uwe na gpa isiyoshuka 3.5 kwaio upate hapo na kuendeleaa apo ndo unauwez wa kuwa hivo na ten ni ktk mithn yko yote mpk utapomaliza chuo
 
Ili uwe lecture unatakiwa uwe na gpa isiyoshuka 3.5 kwaio upate hapo na kuendeleaa apo ndo unauwez wa kuwa hivo na ten ni ktk mithn yko yote mpk utapomaliza chuo
Ni 3.8 over. Ndo maana vyuo vingi vina upungufu wa ma lecterer.
 
Wadau mambo vp?

Mim nataka niwe lecturer na ninasoma bachelor of science with education vp nahitaji GPA ya ngapi ivi??
Angalau uwe na 3.8 kupanda. Ila kutokana na kuwa wengi wanazipata hizo 3.8 yakupasa jiweke kwenye 4.2-5.
Je umejiandaaje usipoipata hiyo kazi?
Au chuo ni Cha familia yenu?
 
Utoto raha sana..
Dogo wewe soma nanjitahidi kufaulu to your maximum level huwezi kukadiria kupata gpa
Umenikumbusha utoto naitwa Dokta kwa kusolve maswali magumu na kila nikiulizwa napenda kuwa Nani najibu Dokta Ila kusoma koote mwisho wa siku na debit na kucredit Hahahahaha

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Angalau uwe na 3.8 kupanda. Ila kutokana na kuwa wengi wanazipata hizo 3.8 yakupasa jiweke kwenye 4.2-5.
Je umejiandaaje usipoipata hiyo kazi?
Au chuo ni Cha familia yenu?
umenifanya nicheke sanaa!

"Je umejiandaaje usipoipata hiyo kazi, au chuo ni cha familia?"
 
Back
Top Bottom